🔴LIVE:SIMBA WAFUNGUKA KUWARUDISHA MANULA NA AWESU / ATEBA ATIKISA / YANGA HAPATOSHI KESHO|16.08.2024

preview_player
Показать описание
🔴LIVE:GOOD MORNING NDANI YA WASAFI FM |16 .08.2024
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Nasri punguza ushabiki, , unahukumu Sana kuliko ukweli wa Mambo . Jifunze kubalance

jameskapala
Автор

Hamjamhoji Manula, sasa mnasemaje anahujumiwa? ni kama mna chuki na sima

shangwefaustini
Автор

Kwaiyo wewe Nasri ndio umekuwa msemaji

sadockedward
Автор

Madunduka kuna ubabaishaji na uongo uongo mwingi sana --- angalia timu waliyosajili msimu huu, wanakwambia, " ni kikosi chenye thamani ya bilioni 7 " lakini ukikiangalia kiuhalisia " ni mbingu na ardhi " ---- wanaishi kwa uongo uongo.

albertvalentino