HADI RAHA! ALIKIBA APIGIWA SHANGWE AKIIMBA RUN DUNIA

preview_player
Показать описание
Karibu kujiunga na group letu la What's app kwa Habari, Matukio, Burudani

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Mungu akubariki mimi ni mtumishi wa mungu lakini nasikiliza ma nyimbo zako❤ like from Congo RDC 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

apotredavidmungufenioffici
Автор

Wapi yule Mshenzi Master Jay???? King Kiba anajua sana Live Music.. Much Love from Kenya 🇰🇪 ❤️

alfylegit
Автор

Jamani Alikiba halinganishwi na msanii mwengine katika nyimbo za wosia tena zenye mguso halisi wa mahaba ❤❤...maisha mema kiba🎉

allyalvine
Автор

Nyie huyu Alikiba ni Nyoko🔥🔥🔥 He deserves a crown 👑👑

laurentchimbirani
Автор

King kiba ni mmoja tu Africa!hujutii kulipia kiingilio kwenye show yake..!#UNYAMA.

edwincain
Автор

Mpigaji wa piano, wa kidar yani stage yote imeenjoy

assanisass
Автор

Isingekuwa sio kwamba mziki unabadilishwa na ukisasa dah alikiba ni mtunzi mzuri na kabarikiwa sauti, ukitaka kuamini hilo sikiliza nyimbo za zamani za alikiba, kama macmuga, hadidhi, mapenzi yanarun dunia, na zingine nyingi

elisharaphael
Автор

Maana ya mzik kuongea wenyew ndo hii siyo weka mikono juu 😂😂 alah nimelipa hela yangu bado unambie niruke ruke aweee

ThabitiMkemwa
Автор

Lakini pia uvumilivu na vitendo vya karaha viliniumiza, Haya uliyofanya leo ikifika kesho utajibuni nini kiama, Unatema big G kwa karanga za kuonjeshwa👑👑👑🔥🔥🔥

laurentchimbirani
Автор

King of voice tz, , , , the only one King 👑 see u Nairobi next tm

constantinochalle
Автор

Halafu kuna mjinga ana mfananisha na wapuuz wapuuz 😂😂😂😂

huseinshedrack
Автор

Alafu yule Mzee wa upinde ana sema maneno kama chizi

zaidihussein
Автор

Mashairi yasiyo hata na chembe ya matusi😊😊😊

geofreysolomon
Автор

Ivyo ndio msanii anatakiwa aimbe kwenye show na sio kupiga makelele tu na kufosi watu washangilie ujinga

OmaryMpili-tkfp
Автор

We ni king 👑👑👑 tu ila yupo xmba mtu huko Hy mi kelele kwenye xitej huxikii nyimba wala nn yani vurugu tu

mwasitz
Автор

Anajua kuimba sana sauti yake nzuri kama kasuku habani pua leo nime msikiliza vizuri

abdallahkhaliki
Автор

Uyu simtanzania nikama m congo mani aliye angukia tz 🇨🇩 aiseyi kama mimi ivi❤❤

JohnPlaton-dv
Автор

Hadzabe tribe these people are living the heaven, , , us who were colonized by white men were destroying each other, , , unasikia hawana wivu hawana uchawi ... Amazing people I love them from kenya

bonifacemutie
Автор

King kiba nakukubar sana, chukua maua yako🎉🎉

HassanAbdul-xbdk
Автор

Kaka unajua Hadi Basi. 🎉🎉🎉🎉 Mziki wako Ni Dawa tosha

FoodRecipes-ri
welcome to shbcf.ru