AHMED ALLY ATEMA CHECHE/ATEBA NI MALI/MANULA LEO ALIKUWA KWENYE KIWANGO/TULIKUWA HATUTAKI MATOKEO

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Mtaendelea kufungwa na timu pungufu kila siku😂

makamesaid
Автор

Mimi ni Yanga lakini ni kweli Ahmed Ally anaongea ukweli kuwa lengo ni kujua wapi pana vuja na sio ushindi . lakini muelewe muda hauwangoji ninyi mjenge timu yenu na Simba haitakiwi kusajili wachezaji wanaohitaji kusubiriwa kuonyesha uwezo wao au kuelewana na wenzao zaidi ya wiki moja labda kama usajili wao haujazingatia ubora wa wachezaji wanaohitajika . Kwani wale waliosajiliwa Yanga wanatofauti gani na hao wanaosubiri muda wa kuelewana? Timu za taifa zinaundwa ndani ya wiki moja na wanaelewana vipi nyie Simba mnakwama wapi ? Hiki kisingizio cha kuelewana kinaweza kikawafikisha mpaka katikati ya mashindano na bado hawaelewani. Simba au Yanga hazipashwi kusajili wachezaji wa aina hii ambao wana viwango vya kutia mashakamashaka na kusubiri waelewane kwani pre season imekwisha na ratiba za ligi za TFF na CAF zimeanza na nyie bado wachezaji wenu wanahitaji muda zaidi wa kuelewana na hili ni tatizo kubwa kiusajili au benchi la ufundi.

reginaldmapunda