Все публикации

Francis Mtalaki - Mimi ndiye niliyekuwa mwanahabari wa kwanza kushuhudia yaliyotokea kule Shakahola.

Weezdom - Nishawahi patwa na mwanaume mwingine nikiwa na dem yake. #HapaNdipo #BillyNaMbaruk

Tupatane Tarehe 31 Disemba katika Kanisa la Deliverance Kisii, kwenye mkesha wa kufunga 2024

Toa ubashiri wa mechi ya Manchester United vs Bournemouth😄😄. #MikikiYaSpoti

The expectation of a righteous man will never be cut off!!#Nuru47Jumapili #HapaNdipo

Yesu Kristo alikuja kutukomboa kutoka kwa mishororo ya sheria- dhambi, magonjwa na umaskini.

Jesus came to break the work of the devil!!#Nuru47Jumapili #HapaNdipo

Changamoto ni kawaida ila matunda ni mabifu. Tuipe muda CBC.#BahariYaElimu #HapaNdipo

Mastory za Onyango na dame wake wa USA😂😂😂.#MbavuGarage #HapaNdipo

Chanjo ya ng'ombe imeleta malumbano miongoni mwa wanasiasa nchini. #TashtitiYaWiki

Maswali za wakenya😂😂kwanini ufikirie kila mtu mfupi anaitwa Mwala?#BillyNaMbaruk #HapaNdipo

Serious people wameshafika shagz for Christmas. Wenye mumebaki Nairobi shida ni bus fare ama😂😂?

Kanjo wachukua mbuzi ya Kibet. #HapaNdipo

Agnes Nonsizi - Kifo cha babangu kilileta huzuni mwingi sana maishani mwangu. #HapaNdipo

DJ Pierra Makena - Siku ya kwanza kupatana na Rais Uhuru Kenyatta nilishindwa cha kumwambia

Je, ukienda nyumbani Krismasi huwa unabeba nini ukurudi Nairobi? #HapaNdipo

Lakini Narok si serikali inapaswa kuweka cows crossing badala ya zebra crossing😂!!! #HapaNdipo

Nikiwa campus kuna dem aliniambia ameenda Nairobi kumbe aliita mtu mwingine kwake - Emmanuel Too.

Mpinga Kristo ni yeyote anayemkataa Mungu.#Nuru47Jumapili #HapaNdipo

Mungu aliumba mbingu na nchi kwa siku moja. Siku zilizofuata alikua anapanga- Pastor Makanda

Kuna uzoefu ya kuwarudia waigizaji wa kitambo katika Filamu kwa sababu wana nidhamu kwa kazi-Reuben

Sanaa ina pesa ila shida ni sisi wasanii hatujipangi- Reuben Odanga#BahariYaElimu #HapaNdipo

Iwapo uko na pesa zisizoweza kutatua tatizo lako kubwa,tafadhali kula hizo pesa!!😂😂 Ama mnasemaje?

Ata dawa ya Maasai wanataka kutax🤣🤣🙆‍♀️.#HapaNdipo #MbavuGarage #Radio47FunFriday