DRC yaitwanga APPLE barua nzito, yaionya iache kununua madini ya 'damu' kutengeneza iPhone nk

preview_player
Показать описание
Комментарии
Автор

Speak Louder Mr tshisekedi zote izo zina belong kwa wa Congo

shebbylove
Автор

Marekani ana mtumia rwanda kuhanzisha uhasi kongo ili wawe napata izo bizaaa

saluxeagle
Автор

Hawa wazungu Awatasikia kustopisha kuiba madini ndio Wanasababisha ndugu zetu kuuwana wenyewe kwa wenyewe wao kufaidika kwa madini😢😢😢

kilogreek
Автор

well Spoken Président FATSHI BETON🇨🇩🖊️✌️
STOP GENOCIDE in DR C.O.N.G.O🇨🇩🛑🚫

adorateurpaulbukuru
Автор

Aaaah wanafiki tu si vibaraka wa Marekani hao wanatuchosha akili zetu tu kwisha habari yao

braystuskibassa
Автор

Kila cku nawaambiaga watu marekan ndio taifa la kijambazi duniani

swalehemusa
Автор

Wao hawawezi kuendelea bila ya sisi, dj sma yuko sahihi

kassimbayuu
Автор

Ipo siku Rwanda 🇷🇼 America Watajuta Mungu iko na siye wacongoman

SergeNgongo-qx
Автор

Hawajali Na Uhai yahani Watu, Wanatuhua bila Huruma Ili Wahibe hayo Madini.

ibba
Автор

congo mungu akupeni nini jamani kwanuni waafrika hatuna akili za kujiongeza watu wanateseka watu wanakufa😢😢😢😢

kimbwapulekig
Автор

Ni kama onyo Barua ya onyo nakukubali sana mwangu sky unajuwa sana kuchimba na wish ku met na ww mzeee😂

ommybrezymachozy
Автор

Hawa Rwanda na Burundi ni watu wabaya sana ...

mancholotrasco
Автор

Maskin haya madini ndio chanzo cha ndugu zetu kuuwana wenyew kwa wenyew

aminatanzanya
Автор

Chapa kazi acha uoga nchi kama hiyo isipige hatua .Ifanye kama ulaya kagame kibaraka!

davidndaha
Автор

Njo mana family zetu wana Kufa sana nyumbani kwetu he mweyezimu ilinde inch yangu

FabriceKihanga-derp
Автор

Mnaotumia iPhone mwache kujidai sasa mmesikia mnatumia vitu vya damu

Chettymlambalipsi-lbkm
Автор

ipo siku rwanda itakuja kujutiya na ba américain babo Mungu wetu sio kiziwi ata simama tu pamoja nasi

JeanjacquesAmuri
Автор

Iyo ndio sababu ya vita kila siku visivyoisha

issakamangila
Автор

Unajuwa afrika nitajiri sana mwenyezimungu ametujalia sana sisi waafrika kuwa na madini mbalimbali..kwer afrika ni mali

jamilaathumani
Автор

Hembu tuamke hao Apple wote ni wahuni tu na wamekuwa walichukua madini hayo toka ukoloni na wanapata faida kubwa wanatumia majinga ya kiafrica wakati wao wangekuwa nayo hakuna mwafrica angeyaona ni watu hatari Sana wananongwa hasa upande wa kiuchumi wapo pamoja nchi zote za maghalibi kuhujumu Africa viongozi wetu wamelala tu matumbo makubwa ti

fidelfidel-jziw