Yanga yafafunua mabadiliko ya uwanja mechi yao dhidi ya Vital'O

preview_player
Показать описание
“CAF wakatushauri bado sio rafiki kuipeleka mechi pale” maneno ya Afisa Habari wa Yanga SC, Ally Kamwe akizungumzia mabadiliko ya uwanja kuelekea mechi yao ya mkondo wa pili Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) dhidi ya Vital’O

#CAFCL
Комментарии
Автор

Ufunguzi wa mchongo Asanteni Mzee MAGOMA fc

Ommybabaa
Автор

SISI POPOTE KAMBI, KWANI WAO HAWAOGOPI😅

allysaidlyambange
Автор

Yani Hawa ni wababaishaji hivi kweli uzinduzi wa michuano mkubwa Kama CAF ifanyike chamazi na waache viwanja Bora kote Africa vyenye hadhi kubwa? Wahenga walisema "njia ya muongo ni fupi" Hawa jamaa wanafanya watu wazima Kama watoto na hii ni dharau kubwa kwa mashabiki wa mpira barani Africa.

KamaraJoseline
Автор

Kweli hii Tff ni ya Utopolo tu, unawezaje kupata timu ambazo zinakuja kucheza mechi zoote kwenye uwanja unaoutaka wewe na unamfunga idadi ya magoli unayotaka wewe.😂😂Shame on you GSM & Tff

loishiyesamwel