INASIKITISHA: Rais BIDEN alivyoganda na kuonekana kuchanganyikiwa kwenye hafla ya Juneteenth IKULU

preview_player
Показать описание
Комментарии
Автор

Afilie mbali dhulma anavyo tesa nchi za watu 😢was kua na hatia

MuniraShughuli-kcvj
Автор

Simpatii picha trump anavyochekelea huko aliko utazani Rick Ross akipiga kilevi afu acheze dance😂😂😂😂

StrongbowArrow
Автор

Huu mzee amechapa😂aache kung'ang'ania kiti umli wake haumruhusu😂

ngendakumanajeanmarrie
Автор

Ukweli tunaweza kuingia vitani na mtu mwenye ungonjwa mkubwa. Maamuzi ya raisi wa marekani ana upungufu wa akili. Namwimba PUTIN. Amvjmilie mwezake ni mgonjwa''

pauldotto
Автор

Natamani Raisi wa russia. Aendelee hivihivi .asitumie siraha za moto...
Kwa maana mshindani wake ni mgonjwa na ahajitambui tafadhali

pauldotto
Автор

Putin baba lao ❤❤🇷🇺🇷🇺🇷🇺
Free Palestinian ❤❤🇵🇸🇵🇸🇵🇸🇰🇪

hassangaddafi
Автор

Dua hizo zinafanya kazi…na atajinyea sana tu😂

aminmohammed
Автор

Mwanamke ni kiumbe makini sana duniani anajua tatizo la mmewe ajataka aaibike mume jmn mwanamke aeshimiwe❤

nellymtambo
Автор

Pole Kiongozi Rais Baiden-Unaweza kuahilisha Matukio, Hadi utakapina Uko Vizuri.Matatizo humpata Binaadam yeyote.Sina Uhakika na Umri unaweza kusoma Mazingira sio Lazima usimame.Ongea Kwa Mtandao Bado Mawazo Yako yanahitajika.Tumuombe Manani Akufanyie wepesi .Amiina.

habibaramadhani-xved
Автор

Kama Ulitazama na kuielewa vizuri series ya WESTWORLD basi huna shaka huyu ni HOST 😅😅📌

RagnarSnow-oqnt
Автор

Urusi wana ujasusi wa hali ya juu na mpaka kwenye ndani serikali ya marekani wapo watumishi ambao ni. Majasusi wa urusi hauwenda wamempiga sumu

MasterOil-qmvw
Автор

Utakuta iyo mzee ashakufa kitamboo afu icho kinacho onekana ni mdoli waliyo tengeneza 😂😂

shukurumsebaloli
Автор

Mbona mh Mkapa akiwa na miaka 83 alikuwa fiti sana tofauti na huyu Raisi wa USA.

pastorgodwinchengula
Автор

Yan mbona bado dua za wenye kudhulumiwa

saidkhatib
Автор

Angekuwa ni Rais kutoka Africa wangeongea sana..

HamzaMbasha-xsky
Автор

Huyu mungu. Amuweke amdhalilishe mpaka wengine wapateibra kupitiayeye

DaudFataki
Автор

Hatari ila taifa kubwa ilo kitaileweka

hamidamussa-syfm
Автор

Kama huyu ndio atakuwa mgombea wa marekani basi Trump ushindi kwake ni asubuhi.

stiveerasto
Автор

Kuna mwingine huko Nigeria nae anaaguka kila wakt anasinzia kwny mikutano 😅😅😅

yahayaannu
Автор

MK ALTRA AT WORK THIS IS DARK WORLD MISSION

tanzaleo