filmov
tv
WANAOVUSHA WATU NA BOTI WADAKWA KIGAMBONI | MAFUTA LAKI MOJA YA MAGENDO YAKAMATWA KUNDUCHI
Показать описание
Jeshi la Polisi Kikosi cha Wanamaji, Dar es Salaam, kupitia doria zilizofanyika mwezi Disemba, limefanikiwa kuwakamata watu tisa kwa tuhuma za kuvusha abiria kwa njia hatarishi maeneo ya Kivuko cha Ferry jijini Dar es Salaam.
Karibu kujiunga na group letu la What's app kwa Habari, Matukio, Burudani
Karibu kujiunga na group letu la What's app kwa Habari, Matukio, Burudani
Комментарии