PATANISHO - WEWE ITABIDI UTULIE

preview_player
Показать описание
Radio Jambo Kenya | Ongea Usikike | Ni kituo nambari moja Kenya kwa matangazo ya kiswahili. Vipindi vyake vina jumuisha Spoti,Mijadala moto moto na muziki wa Kiafrika
#RadioJamboKenya #gidinaghostasubuhi #podcast #patanisho

Mitandao ya Kijamii
Комментарии
Автор

Radio jambo mnaona tumesahau hii ni ya kitambo😂😂😂😂😂

nabayaglobal
Автор

G & G hii patanisho mmerudia hii sio ya Leo ...

Gracie_Trixie.
Автор

Wamerudia patanisho 😮😮😮😮hii ilikuwa ya kitambo sana😅

emilywangui
Автор

Mbona wanawake huwa wanaona ngumu support mwanaume

CROWNMEDIAKE
Автор

Sawa mmeanza kurudia episode za kitambo 😂😂😂

VictorKiplagat-wnmw
Автор

Kwani nowadays nikurudia patanisho 😂mnipatanishe basi na ex wangu😅😂 sawa kama hakuna wakupatanishwa

CindyScalet
Автор

Watu hawataki kupatanishwa nowadays😂hii patanisho n ya kitambo

sheilaochieng
Автор

Aky mm nachukia mwanaume anaongea sana😂😂😂

lilliannyarinda
Автор

Uyu dada akona mpango zake mwanaume amenyenyekea anafaa second chance

asekasheldon
Автор

Radio jambo you are letting us down ...why repeat the patanisho

titusmakale
Автор

Ati anataka kulipua nyumba Na gas..wachana Naye atakuua.wanawake usikubali kulisha mwanaume

joycesavai
Автор

Hawa watu gidi na ghost wanatupanga Sisi watu wa YouTube kutuonyesha marudio.Sijui watu WA radio direct tuambieni are they working in radio ama wako leave????😅😅😅😅

jemimahnafula
Автор

But hii patanisho si ni ya kitambo why again

julianamalinda
Автор

If mouth was a person then this would be the one

gracekamunya
Автор

Huyo ashapenda fundi n rejecting her husband wheeee! Husband is also a parrot so irritating😮

OfficialSignature
Автор

Siku hizi munarudia rudia, nikama hamna contents

EricABEGA
Автор

Julius umeblokiwa juu ya kumstalk, juu ya usumbufu!!
Give her space to think!! You are too much🙄😱

susanmuthoni
Автор

Tulirudia uchaguzi, Ruto anarudisha finance bill, na wewe Gidi sasa unarudia hii? Mbona umechange hivi siku hizi bro?

b.
Автор

Mmesema siku hizi ni kurudia tu patanisho...😡😡😡 Bure kabisa

ericsart