Wochit : Somalia, Hoteli Ya Medina : Mara Baada Ya Shambulizi

preview_player
Показать описание
Vyanzo vya habari vinasema majeshi ya Somalia yafanikiwa kuimarisha ulinzi baada ya kuwauwa washambuliaji wote. Al-Shabaab wadai kuhusika na shambulio hilo.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Unaimalisha ulinzi wakati shambulio lishafanyika? Kama sio uzembe ni nini. Angalieni sisi wengine sio wajinga tunajua kinachoendelea hapo Somalia

maufundi
Автор

Ulinzi unaimarishwaje wakati madhara yamesha tokea

holidaytripstanzania