Fadlu aridhishwa na viwango vya mastaa Simba baada ya sare na Al Hilal, amtaja Manula

preview_player
Показать описание
Kocha Mkuu wa Simba, Fadlu Davids amesema ameridhishwa na viwango vya mastaa wa timu hiyo walivyoonyesha katika mchezo wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya Al Hilal ya Sudan.

Kauli ya Fadlu imejiri baada ya Simba kutoka sare ya bao 1-1, katika mchezo huo uliopigwa kwenye Uwanja wa KMC Complex Mwenge jijini Dar es Salaam.

"Sio suala la ushindi katika mchezo wetu kwa sababu tulihitaji kutoa nafasi ya kucheza kwa Kila mchezaji na tumeona maendeleo mazuri kwao."

Simba inatumia michezo hii ya kirafiki katika kipindi hiki cha michezo ya kimataifa kwa ajili ya kujiwinda na mchezo wa hatua ya pili ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Al Ahly Tripoli ya Libya utakaopigwa Septemba 15.

#samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot #mamelodisundowns #alahlytv #alahlysc #miraj