9 January 2025

preview_player
Показать описание
PONGEZI KWA DADA YETU WA MWEZI WA 11/2024 👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽

WADAU MPO TAYARI KWA SEMINA YETU 25/01/2025 ??? SIKILIZA HII VIDEO ALAFU UTUAMBIE UNGEPENDA MADA GANI TUIWEKE MEZANI 👍🏽👍🏽👍🏽

Semina hizi zinalenga kuwajengea uwezo wadada wa kazi za nyumbani ili waweze kufanya kazi vizuri na kutoa huduma bora kazini 📌📌

Hii ni semina ya wadada na mabosi iliyotufungia mwaka 30/11/2024📌

Mwaka huu tumefanya Semina za mara moja kwa mwezi, kwa lengo la kusaidia kupunguza changamoto mbalimbali za wadada na mabosi wao katika maeneo ya kazi 📌

Wadada wa kazi ni wadau muhimu sana katika malezi, makuzi na Maendeleo ya mtoto/watoto, ulinzi na usalama
Wa mtoto/watoto.

Ni jukumu letu kuwajengea uwezo ili kupunguza changamoto nyingi zilizopo kwenye jamii hususan za vitendo vya ukatili kwa watoto na wadada📌
Рекомендации по теме