Israel yawashambulia Wahouthi kujibu mapigo, yalipua maeneo muhimu ya kijeshi, 80 wajeruhiwa

preview_player
Показать описание
Комментарии
Автор

Israël ❤ ukiua mtu mumoja wa Israël, kwenu watakufa 10 ! Israël TAIFA LA MUNGU we love you ISRAËL ♥️🇮🇱 WAARABU HAMUJUWI POLITICS NJOMANA HATA NA SADDAM HANGEKUFA KIFO KAMA KILE !

zebedemirambi
Автор

Ndugu yangu, mimi ni mwisrael kabisa Damu Moja ya kristo nimezaliwa mara ya pili Kristo Yesu ndiye BWANA

NgoshaJaphet-zosq
Автор

Mwenyezi mungu awalani viongozi wa izziraili na marekani

KilimbikeHaji-iyfm
Автор

IBARIKIWE ISRAEL 🇮🇱 ❤️ MILELE yote 1 WAKORINTO 1:9🙏🙌

emmanuelfari
Автор

Shida ya waarabu utasikia wanasema waisramu utusaidie, Waisrael utasikia Mungu wa Israel utusaidie, kauli ya Benjamin alisema hata kama wa shirika wao wakiwatenga tutapigana kwa kucha. Ingia kwenye Historia za vita tangu walipotoka Msri kabla Yesu Kristo hajaja duniani walipigana vita ngapi? Na mataifa mangapi.. Sisi yetu macho na Maombi.

DatiusExavely
Автор

Jamaa wa jeshi bora la anga hapo ndipo warabu wanaposhindwa ukiwa na jeshi la anga bora ni ngumu kupigwa warabu waache mihemko watengeneze majeshi ya anga mayahudi jeshi la ardhini hawako vizuri ndio maana wanasumbuliwa sana na hamasi sababu kwa ardhini warabu wako vizuri.

saidiyusufumuhode
Автор

Ni Mungu aliruhusu, Mungu Huwa anawaazibu Israel Kwa kuinua taifa au mfalme kuwachapa Leo ni kuwarusha kwenye njia

NgoshaJaphet-zosq
Автор

Israel ana saidiwa na marekani ndo maana wanajitapa sana

HajiKlein-sork
Автор

Yani, lsrael, mbona, awaliziki, na, damu, waliyoimwaga, nawao, ipo, siku, watapigwa, tukio, baya, sana, , kwa, uyama, wanaoutenda

DismasShubi
Автор

Good work upanga kwa upanga
Mwarabu ukitaka akuogope mpige kisawasawa bila huruma

rashidsaidi
Автор

Hapana wahuth wako sawa kwakua Izrael wanawaua wapalestina wahuth wanasema wanafanya hivyo kwakua ni kutaka kumwambia Izrael iache kua Watu Gazza

aboudasilver
Автор

Watahama waisreal Hawa mbwa wapote duniani

moohazuume
Автор

Yemen and houth hakuna kuogopa mashoga wa Israel

Mwanatanga
Автор

Kifo Cha muizarael mmoja ni sawa na watu 100

NgoshaJaphet-zosq
Автор

Alianza na kujitambulisha Kwa Israel Ili kuonesha utofauti na miungu mingine na ndiyo akajiita mwenyewe kuwa ni Mungu wa Israel Lakini lengo ni Dunia nzima imjue imwamini na watu wote wampokee Kristo Yesu sasa kama haumwamini Yesu wewe ni ibilisi hakika na ndio maana Mungu atawahukumu wote wasiomwamini Yesu hivyo kupitia Yesu nimekuwa mwisrael Damu damu

NgoshaJaphet-zosq
Автор

Sky tunapendelea uwe unasimulia mara kwa mara tunajua mda sio rafik

mweusiasili
Автор

Hizi vita zishakuwa za kidini zaidi ila wanajificha kwenye vivuli vya watu😢

YasiniJuma-qpjh
Автор

😢😢inahuzunisha yaan watz wapo humu ukibishana sababu ya dini tu, watu hawataki kutumia akili....kwa upande wangu nataman siku moja hao waarabu waje wawatwange Israel pigo moja ili wajue wenzao wanajisikiaje, ila hii ya kuua mtu moja alafu Israel anakuja kuwafanyia unyama wangeachaga tu, wajipange hata kama itachukua miaka 20 kufanya wafanye..maana waarabu wanateseka jamani kha sio kwa uonevu huo

missp
Автор

Israel haijawahi kushindwa
....Mungu wa Israel ni Mungu mkuu asiyeshindwa bado kitambo kidogo tu, Taifa teule taifa la Mungu mwenyezi

NgoshaJaphet-zosq
Автор

Hapo picha limeanza na jamaa wa Israel waogopa kufa wale jamaa vibaya ila daima waarabu wapo stong

MohdSuleiman-fwun