HATIMA YA MBOWE NA MATIKO KUJULIKANA KESHO

preview_player
Показать описание
Mbivu na Mbichi kuhusu hatima ya dhamana ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na mbunge wa Tarime Mjini, Ester Matiko inatarajiwa kujulikana kesho March 1, 2019 katika Mahakama ya Rufani.

Mbivu hizo ni kuhusu uamuzi utakaotolewa na Mahakama hiyo kuhusu rufaa iliyokatwa na Mkurugenzi wa Mashitaka nchini (DPP).

Hatima hiyo imejulikana wakati kesi ya Mbowe na wenzake ilipotajwa mbele ya Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Kisutu, Kelvin Mhina baada ya Wakili wa Serikali, Wankyo Simon kueleza kuwa kesi hiyo imeitishwa kwa ajili ya kutajwa na wanasubiri taratibu za rufaa.

Baada ya kueleza hayo, Wakili Prof.Safari aliutaka upande wa mashitaka kueleza rufaa inaendeleaje kwani taarifa rasmi waliyoipata wao uamuzi wa rufaa hiyo utatolewa kesho February 29, 2019.

"Taarifa rasmi, rufaa itatolewa hukumu kesho Februari 29, 2019 saa tatu,".

Baada ya kueleza hayo, Hakimu Mhina ameahirisha kesi hiyo hadi Machi 14, 2019.

Novemba 23, 2018 Jaji Wilbard Mashauri akiwa Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama ya Kisutu, alifuta dhamana ya Mbowe na Matiko kutokana na kukiuka masharti ya dhamana.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

AYO kwan kuna tarehe 29/02/2019?
Mbona km siwasomi

fabbymutz
Автор

Hiyo trh itakuwa mwaka 2020sasa mtangazaji imeiwai sana

barakajambery
Автор

Correction ....tomorrow is 1 March 2019 and not 29 February also 26 February 2019

mmbandomacky
Автор

Kazi kweli kweli japo hayanihusu lakini kuna makesi sio kesi makesi makubwa lakin hii kesi ya kawaida tu inakua na mlolongo mkuubwa duuuh tz nani kawaloga???

noelyngaiti
Автор

Kama kuna jambo la kusamehe mwaka huu basi, naomba hawasamehewe

badenbensoni
Автор

Mwezi una siku 28 hio ya 29 umeitoa wapi ndugu mtangazaji?

eliabenjamin
Автор

Hiii ya 29 ni Kalenda ya Mahakama au ya Mtangazaji!! Sijaeleaa hapo kitu!??

davidochupe
Автор

ndugu zangu kesho tarehe ngapi kwani mbona sielewi kesho tarehe 01.03.2019

mayagilajr
Автор

Ni akili tu imekariri mwezi unaendelea

kokudo
Автор

Dah mtangazaji acha kuishi kwa kurili unaongea tarehe ambayo haipo

birundula