Sakata la temba kuvamia makazi laibuka kwenye Bajetiya Wizara ya maliasili

preview_player
Показать описание
Serikali imeshauriwa kuweka mkakati madhubuti wa kudhibiti matukio ya wanyama hatarishi hususani tembo wanaovamia makazi ya watu na kuleta madhara katika jamii.

Hayo yamebainishwa bungeni jijini Dodoma katika mjadala wa Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Maliasili na Utalii kwa Mwaka wa Fedha 2024/ 2025.

Mhariri: @official_jennifersumi
#bajeti #wilzarayautalii #wanyamapori #bungeni #dodoma