SALAMU ZA MWAKA MPYA ZA RAIS DKT. SAMIA KWA WATANZANIA

preview_player
Показать описание
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwautubia Watanzania kwa Salamu za Mwaka Mpya Ikulu ndogo ya Tunguu Zanzibar, leo tarehe 31, Disemba.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Asalaam aleykum mama yetu kipenzi Asante kwa utuba yako nzuri inshaallah wanao tuko uku Nchi za kiharabu tunapambana ili.kuleta maendeleo ya nchi yetu na famiriya zetu na maendeleo nipale tunapopambana kujenga nakufunguwa bihashara mbali mbali na kuwasomesha watoto wetu tuombee wanaona turudi salamaa tunaopitiya changamoto mbali mbali kikubwa tunaomba tuendelee kuwa na subra kila.jambo linamwisho wake ipo siku tutarudi nchini kwetu na maisha yaendelee Mungu ibariki Africa Mungu ibaliki Tanzania

SadaHasimu
Автор

James ekayi Gregory thanks mama suluhu mungu akubariki akupe muda mrefu ya kuongosa TANZANlA ni James ekayi Gregory from Kenya barris

JamesEkayi
Автор

Allah akupe umri mrefu na afya njema akuondolee husda na balaa za hapa duniani akujaalie ukifa upate kauli thaabit pamoja na ss aamin aamin

AbuuMuntasir
Автор

Hongera sana Mhe.Rais wangu Mama, kazi unazofanya ni kubwa Mungu akutunze.Mitano tena yako.Nakupenda saana.

irenemwakalinga
Автор

❤❤❤❤❤❤ the best president in Africa and whole world. Asante saana Mungu kwa Kuzaliwa Tanzania 🇹🇿 ♥️ ❤️ ❤❤❤❤❤

JeremiahFanuel
Автор

hongera mama samia kwa kazi nzuri mungu akupe miaka mingi na azidi kukupa afya njema najivunia sana na mimi kama binti mdogo napata nguvu ya kupambana kila siku hongera mama yetu

BrightnessNyange
Автор

Assalam alleikumu tunakushukuru kwa kazi unazo tufanyia watazania na watu who wa karibu hira mm nazidi kuomba msaada wa kunibusti katka ufungaji kama nirivyo tanguriza maombi yangu nataambika na watoto asate mungu hakubariki kwa kazi zako

BashiruDauda-en
Автор

Mwaka mpya wenye kheri na baraka kazi iendelee !!!! Ahsante mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿✅

abdulhajiahmed
Автор

Maashallah mama kwa kazi nzur Allah Atazidi kukuhifadhi Na kukuepusha na kila ovu Uzidi kusimamia maendeleo ya nchi Yetu

AbedShafy
Автор

Good ! Kazi njema, na Kigoma umeme umefika, uwanja wa ndege, na SGR. inakupja n.k, hatujasahau na Makam, , Asante sana .

OctavinaNyandwi
Автор

Mungu akulinde Kipenzi chetu, kazi zinaongea, kanyaga twende 2025 Mitano tena

christinamnzava
Автор

Hili ni hazina ya pekee. Mungu endelee kututunzia mama yetu. Ni chapakazi sana, ana roho ya upendo wa dhati kutoka Moyoni. Ee Mungu muumba, mjalie raisi wetu afya tele akaweze kuwatumikia wananchi kwa ujasiri. Amina
🙏🙏🙏🙏

isaacndimangwa
Автор

Hongera sana Mh. Dr. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kufanya mambo makubwa yenye tija kubwa kwa nchi yetu ya TANZANIA.

Kheri ya Mwaka Mpya 2025 uwe wenye mafanikio makubwa kwa nchi yetu.

Mungu akubariki sana.

norbertsezari
Автор

Asante sana Kwa salamu hizo. Mungu Baba Mwenyezi Akutunze mtumishi Wake. Amina

DeborahMgedzi
Автор

Asante Rais Wangu SSH kwa kazi Nzuri unayoifanya

Mungu Akulinde Na Akusimamie katika Majukumu yako Amen 🙏🏿

axmedcumar
Автор

Mama tumejipanga mwaka huu kuunga mkono juhudi za nishati safi nchini, lengo lako la kuongoza Africa katika matumizi ya nishati safi litafanikiwa kwa kiwango kikubwa!

jamesraphaelmdima
Автор

Asante kipenzi chetu.mungu azidi kukulinda

MariamNkya
Автор

Mama nimefurahishwa sana na kazi nzuri uliyoifanya kwa watu wa Manyara waliopata maafa ya kukosa nyumba kwa ajili yamafuriko.Mama hakika Mungu Mungu atakubariki kwa moyo wako wa upendo kwa watu wako.❤🎉❤🎉🎉🎉🎉

immaculataroeser
Автор

Mungu akuonoze katika kutekeleza majukumu ya Taifa Letu mama! Barikiwa sana Mama.

abrahamrugimbana
Автор

Mhe Rais My respected Sister Happy New year. You are the Great leader of Tanzania we thank God and pray for your Good Health. Mhe Rais we are with you and you have done a lot and will do more.

bharyasarbjit
welcome to shbcf.ru