MBWADUKE: Alaa kumbeh! Ufafanuzi sababu Simba kuanzia nyumbani kwa Mkapa Nusu Fainali CAF ni huu...

preview_player
Показать описание
Usisahau ku-subscribe, ku-share, ku-comment na ku-like...
Комментарии
Автор

Nice brother Wang mungu akuwekee milelee kma Kuna mtu anamkubali huyu bro gonga like hapa

AbdallaKhamis-mi
Автор

Mungu akubariki unafanya kazi nzuri na uko chap na data muhimu🙏🏼ss wapenda soka tunasema Ahsante Sanaa Mzee wa data

IsaacTrevo
Автор

Hongera sana kaka, umeeleza vizuri sana, Ubaya ubwela forever, fainali tutanzia away then tumalizia kwa mkapa

jumaayubumohamedi
Автор

nimekubali mzee wa data, Mungu akubariki zaidi, as if you are a teacher, ❤❤❤

YahyaHaonga
Автор

Kaka upon vizuri, yaani unachambua kwa ubora wa hali ya juu sanaa

AmedeusDaudyNuni
Автор

Hongera sana mchambuzi wetu kipenzi cha wanamichezo🙏🙏🙏🙏

tikob
Автор

Ubaya ubwela mnyama anahakikisha kombe kinabaki nyumban hopefully 🙏

FAREEDRAY-xj
Автор

Kaka Mwanduke ww unajua Mungu akubariki sana .

BakariMfaumesaid
Автор

Mchambuzi bora na makini Mungu akulinde ❤❤❤

ShukuruShukuruExperiusKiberiti
Автор

Mzee wa data uko sayari ya peke ako Mungu akulinde inshaalah

LilianMasilayo
Автор

Hongera uchambuz wak uk vizul Hongera san 🎉🎉🎉

ErickPius-qp
Автор

Hongera mkongwe wa uchambuzi ni motisha sana tunakukubali wanasimba

ThadeoPascal-ft
Автор

❤❤❤❤❤mungu aendelee kukuweka duniani mzee wangu mwbwaduke ili uendelee kutupa madini nyie ndo mliobaki tu kwenye uchambuzi wa mpira ❤❤❤❤

gcjcshz
Автор

Nakukubali sana wewe mchambuzi the best Tanzania acha wakatae we piga kazi nabii hakubaliki nyumban

leodigardnestory
Автор

Simba kombe lake maana finali ya 2 kwa mkapa

mhapasonjoseph
Автор

Very fast, uko chap na data, hongera sana kaka🎉🎉

ipyanamwakyoma
Автор

Congratulations bwaduke kwa kufahamisha wana simba sababu zilizo pelekea simba kuanzia nyumbani

ThadeoPascal-ft
Автор

YAANI KUANZIA NUSU UBAYA UBWELA NDO UNAANZA RASMI AAAAH KUBABAKE STELLEN ATUSAMEHE TU FAINAL TUITAKA

MajaniMuyenjwa-vsnf
Автор

Hongera sana kaka kwa ufafanuzi mzuri mungu akupe uzima wa milele

charleskisiki
Автор

Huo uchambuz mbona kama ni mathematics 😂😂

StevenPetro-ke
welcome to shbcf.ru