Big up sana SNS kwa mada nzuri sana ya kuelimisha jamii katika masuala ya kisheria na naungana na mwanasheria hapo sisi kama wanajamii tunatakiwa kuelimishwa
anthonydobeye
Leo mimi kama Chair Man wa GPS kutoka hapa Middle East naomba likes maana niwakwanza na nachukua nafasi hii kuiamuru URUSI kufyatua Nyukria
nassoroshakiru
Tanzania nzima hii ndio media inayojielewa yeny topic za maana...💯💯 kuna uwezekano wana sns mkamfunika millard ayo📌📌📌
saumuabdallah
Afadhali Sasa. Weekend imekua mrefu sana. Big up. Dj Sma tumekumiss sana sana. Karibu tena.
michaeljuma
Nakumbea kwa jina Yesu kwikwi iishe sasa sema tu amen
DJ sma amerudi sma ni akili kubwa ata aongee ujinga, ujinga wake still ni wisdom and knowledge kubwa sana
FreeGod
Hukumu ya Mungu ni KUBWA kuliko ya Mwanadamu.., sasa Ole wako wewe mwanadamu ukajitoa akili eti ukamuita Mungu km Athumani.., mnalo hlo kazi kwenu Poleni sana.
hawamrisho-uoih
Big sana sns na GPS na ongera sana na karibu kwa new come wetu wakili anajuwa sana, @Dj Sma pole kwa magonjwa kama ulivyo sema tumia maji kwa wingi allah atakujalia inshaallah utapata afazali. 👍
⭐⭐⭐⭐⭐
abdullahmapesa
Pole Dj Sma Allah akupe Shifaa soon Ameeen
hawa
Aaaah SNS kaka Bunda napenda kazi yako sababu ipo kiuelimishaji sijutii bando langu kukusikiliza na kutizama Mungu akubariki
tumainichanya
JS maa, pole sana, tumia juice ya miwa miekundu kunywa glas Moja bila kupumzika, utapona kwa Idhinillah.
hemedmwipopo
Polee sn kaka me paihh nilipataa iyo changamotooo siku tano nilizidiii kunywa maji mengii kwa wing na kwa nguvu taratibuu nikawa saw
RayMakini
Pole Sana dj smaa. Dawa ya kwikwi, nenda kwenye zile nyumba za udongo kunakuwaga na vichuguu vidogo vidogo vinajengwa na wadudu Fulani hivi wanaoruka. Ukivipata hivyo vitoe koroga kwenye kikombe chenye Maji upate ule uji uji unywe. In shaa Allahu utapona
sadasaid
Kwi kwi nirahisi utumie maji tu ikiwa imekujia
HucksonDebawa-bgmb
Sisi wananchi tutamaliza wenyewe hiyo kesi wasipochukuliwa hatua
shaabanayoub
Kuna vingi sana tumejifunza kwenye GPS✔
bakarisaady
Jaji ni bora zaidi akose kutoa hukumu mtu asinde jera kwa kosa alilofanya kuliko kumfunga mtu kimakosa kwa jambo asilofanya