Kamwe asema CAF imeamua kuipa kazi Yanga SC

preview_player
Показать описание
Ujumbe wa Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ally Kamwe kwenda kwa mashabiki na wanachama wa timu hiyo.

Kamwe anasema hakuna timu nyingine ambayo CAF inaweza kuifikiria kwa Tanzania, zaidi ya Yanga.

#YangaSC #Yanga #Kamwe
Комментарии
Автор

Yanga hii ni umija wa mataifa, kamwe kwa mkapa zipigwe sana nyimbo za pepe kale yanga afrika umoja wa mataifa

Kingstonbagamoyo
Автор

Mnazindua tu lakini hamsishiriki wala hammo

abdallahakida