filmov
tv
''Wameboresha lakini Huku ni kuwaibia Wanafunzi ''ZAIDI YA MIL 600?' -TSNP
Показать описание
Mtandao wa Wanafunzi Tanzania (TSNP) leo May 22 2016 wamezungumza na waandishi wa habari na kutoa malalamiko yao dhidi ya utoaji mikopo kwa mwaka wa masomo 2018/19 uliotolewa na Bodi ya Mikopo mwanzoni mwa mwezi huu wa tano.
Mkurugenzi wa haki za kutetea wanafunzi Gibson Johsonn Eliaform ameipongeza Bodi ya mikopo kwa kuboresha baadhi ya mambo lakini pia ametoa malalamiko kwa kusema Bodi hiyo imeendelea kubadilisha vigezo kila mwaka na kuweka vigezo visivyo na tija ikiwa ni sehemu ya muendelezo wa kukwepa majukumu ya kusaidia wanafunzi kutimiza ndoto zao za kupata elimu.

Комментарии