GPS: Msumbiji hakukaliki, wengi waikimbia nchi kwa vurugu za baada ya Uchaguzi, hawamtaki Rais mpya

preview_player
Показать описание
Комментарии
Автор

Chair Man wa wana SnS hapa mjini middle east kutokea nchini Bahrain 🇧🇭.
Nasema kwamba GPS ndio show boora sana mwaka huu na itaendelea kushine miaka ijayo mingitu na nikisema mimi sidhani kama kuna wakubisha.

Mtangazaji tunaye bro sky, wachambuzi tunao akina DjSmaa255, Mwinuka pamoja na Masubi🙌🙌. Yaaani show tunayo na tunatamba nayo 🎉❤😂

nassoroshakiru
Автор

Kaka umeongea poit sana uku tanaishi maisha ya shida sana aliakuwa mali tunao tuna zaha, nkaa wa mawe, ruby petroli, magogo na

pedropedroagira
Автор

Amani na upendo irudi msumbiji muungane muwe familia moja ❤❤❤

mmassyferguson
Автор

sisi Mozambique ni matajili gesi zahabu umeme bandali poli lakini bado masikini

FraizdaYussura-stjg
Автор

Mimi niko kusini ya msumbiji hapa Gaza, yani hawa watu wanae ongoza nchi sio watu, ni wa nyama, chapo haja shinda bali kashindishwa na wezi wenzake😂😂😂😂😂😂

MikelSitoe
Автор

Sasa hali ipo ya aman kidogo mimi nipo montipuez cabo dargado

MnambengaJr
Автор

Mwinuka anajua kuchambua vizuri na anajibu alichoulizwa siyo kona kona🙌🙌

BarakaKusalula
Автор

Bora wazungu wangebaki tu, South Africa wanalia lkn miundo mbinu iko vzr

christinewomanoffaith
Автор

Kaka nakufatilia sana mimi wansumbiji nipigie simu nikuambie vizur

AnzandogoIssa-vnfw
Автор

Msumbiji Mali yameja ila sisi lai ni wamasikini sana, From C.Delgado Mueda

misra
Автор

Kwamajina naitwa leo focas toka mkowa WA Pemba Mozambique 🇲🇿 nikweli vurugu zipo kwasababu wananchi wamechoka na uwongo WA chama tawala waliyo nao tumia toka tupate huuru Sasa alívio tokea uyu raisi WA chama pinzani ambae ni Venâncio mondelani akaja kutufumbua macho wananchi tukajuwa wapi tunapo hibiwa na ndomana tunamkubali sana Venâncio na kiukweli katuteka wananchi mkitaka habari zitakazo endelea nitafuteni nawapenda sana sns mimi ni mfuasi wenu napenda sana habari zenu🙏

leofocas
Автор

Msumbiji hali siyo shwari kusema ukweli kama ningepata mawasiliano yenu Sns ningewapa ushirikiano wa kupata habari kamili 🤝

JacksonTulito
Автор

Huyo mwengine muache masudi ajui chochote kuhusu Mozambique anaongea nini huyo tena bolo anyamaze

chafimamissechales
Автор

Mimi nipo Nampula ali ya msumbiji siyo nzuri zaidi, nimateso na majanga tu, Kwa leo raisi wetu Venancio tunamsubiria leo atautubia rahia iliyo mchagua,

FAIZIKASHINDI
Автор

Yaani hawa Washenzi wametuvuruga sana kutuletea mambo ya kidemokrasia, wakati wao wenyewe hawaifuati, Ndio maana mm namkubali sana mtaalamu KIDUKU na XI JIN PING.Nchi moja chama kimoja kura moja, na ole wako usipige kura, Dadeki zako, Nchi lazma iwe juu sana kimaendeleo.

zahorsuleyman
Автор

Ila Henry anajua sana aisee, anachambua kwa facts and Logic, Hongereni sana SNS pia kongole kwa Masubi kwa uchambuzi mzuri.

GeorgeAkasha-zxrj
Автор

Ila dj SMA kafanana sana na Balthazar😂
Nilitaka nimuone Leo🏃🏾‍♂️🏃🏾‍♂️

lexq-smlq
Автор

Mimi ni fan wa sns sana, nimewafuatilia mda mrefu sana, Leo ndiyo nmeamini taarifa zenu, mnachokiongea ni kweli kabisa.na jina la mondlane ni kama huko bongo jina Moja litumika sehem kubwa, mi ni kimaro, wapi kimaro wengi na sio ndugu, Niko nampula.

Kimarokimkimkim-io
Автор

Kama angeshinda kihalali watu wasingeandamana wote hao

TunguIzengo
Автор

jamani mimi niko Mozambique 🇲🇿 naomba naomba namba zenu niwaeleshe kwa ufupi bado hajachanzua matatizo yetu

FraizdaYussura-stjg