Mchambuzi Ramadhan Mbwaduke awang'ata sikio mashabiki Azam FC

preview_player
Показать описание
“Mashabiki wa Azam pengine na Watanzania, wanachukulia poa” maneno ya mchambuzi wa soka Ramadhan Mbwaduke akiwakumbusha wapenda soka kujua ubora na mabadiliko ambayo APR wamefanya katika kuboresha kikosi msimu huu.

Ni kuelekea mtanange wa mkondo wa pili wa Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) utakaopigwa ambapo APR itaikaribisha Azam FC.

Mechi hiyo itapigwa Jumamosi saa 1:00 usiku na itakuwa LIVE #AzamSports2HD

#AzamFC