“Nilifilisika na Kuanza Upya” Wolper Asimulia Jinsi Alivyofeli na Kufanikiwa Kwenye Biashara

preview_player
Показать описание
Msanii Wolper mesimulia Jinsi Alivyofeli Kwenye Biashara Licha ya Kutumia Mtaji Mkubwa katika Kuwekeza
Комментарии
Автор

Ubarikiwe Sana dada Worpa, umenifunza kitu 🙏

nursechunga
Автор

alivyosema ving vzr mno nannaamini ilatuu tunakumbushana ibadada maana tunajiandalia miili isonafaida itaoza haitusaidii kitu tupambane naroho ilituingie pepon inshaallaaah

Abdulazizathumanmwano
Автор

Nimejifunza kupenda kitu haitoshi lazima ujifunze ujue kinafanyikaje na uwe na maarifa sahihi

Abdulrahmanhassan
Автор

Huwa sipendi ku comment.
But really this is a good lesson. Be blessed

jacobsimkoko
Автор

Hajajibu wasaidie vijana ni jinsi gani wafanye biashara....

macksemuyango
Автор

Huo mzigo wa nywele wanini tunzeni nywele zenu mtapendeza

lameckbalekere
Автор

Sio umbea Tu kukaa kibalazan kusukan na umbea na unafiki wew dada jazaka Rahul hrera

KhadijaKhadija-s