Mungu ambariki Rais Musseven ni Moja kat ya Marais wazalendo Africa hii Mungu ampe maisha marefu na afya njema Amiiin yarrab 🤲🥰❤️🇺🇬🇹🇿
zayumar
Asante kaka yangu mkuu mseveni Tanzania we love you
SM-fuyv
Yoweri Kaguta Museni kiongozi mwenye msimamo namkubali sana..Mimi napenda viongozi wenye msimamo against western countries haijalishi anatoka wapi..Africa lazima tuwe pamoja ili tuendelee..Mungu blessed Museveni and Africa
DafiMohamed-dzxk
"Ikumbukwe; Pokea msaada huku ukitambua ya kuwa, Mtu anayekusaidia ananunua uwezo wako wa kufanya maamuzi" salaam za heri kwako raisi Mseveni.
kakawamashariki
Museveni is mzalendo and good leader in east Africa bravo kaguta
CharlesMafwimbo
Dj smaa Mwanangu snaa kwenye geopolitics
abdallahnamuha
Magufuli ayupo Ila ina Tia Moyo kuona tuna Mzee wetu kwenye hekima Kama Museveni Asante the president Africa love you
shabanilugi
Viongozi km hawa Afrika wenye moyo wa uzalendo nadhani kabaki pekee yake .MUNGU mbariki Musseveni mpe maisha marefu
LeventinaNyamya
Safi museveni upo sahihi mbaba wa Afrika
msukumamnywamaziwa
Mzee Museveni uko vizuri sana, mawazo yako na maoni yako yakifanyiwa kazi kwa vitendo, nchi zetu na watu wake watastawi na maendeleo yatapatikana. Hongera sn Mzée. Viongozi wetu tufanyie kazi ushauri huo
musasaguti
Mseveni ni mtoto alieandaliwa nyerere so hayo ni mawazo ya baba yetu wa taifa Mungu aendelee kumtunza huko alipo
imanyamiela
My role model, Mr genius, Sir Kaguta, uishi maisha marefu mzee wa Kazi
jeanmusamba
Safi Sana Mzee Rais Mseveni
AKA BACHUCHU MOMBASA 001
+254
khamisshee
Museveni is among the great leader in africa.
worldelectro
I believe it was ruto who advised him to stop the tanzanian rice.
davidwalalason
Dah! Muamar Ghadaf's dream...Mungu Amuhifadhi.
shabanibussara
Aisee umeelezea vyema sana na kupiti hii chanel yenu tutazinduka, binafsi ninahasira sana na hawa magharibi lakini sina kipaza sauti, Mungu awabaliki sana guyz
imanyamiela
NDOHAYA MLISEMA JANA KAMA RAISI MMOJA NIMZURI NIWAKUMUACHA TU/HAYA MAMBO YAKUBADIRI MARAISI NILOS SANA
mkatavitv
Ndizi zilizuiwa kuingia zenj from bara to ndiz zenj ni ghali wakat bara ni rahisi.
Zenj wanaagiza Michele kutoka nje wakat Michele wa mbeya ni rahis na bora kwa mapishi kuliki huo wa nje.