MWAMBIE YESU / UMECHOKA // MSANII MUSIC GROUP / SMS [skiza 5968788] TO 811

preview_player
Показать описание
Join this channel to get access to perks:
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Mungu mkubwa🙏🙏 love from #Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮❤🇰🇪

irambonaericwamakamba
Автор

Whoever did the instruments apewe soda kubwa baridi kwa bill yangu, It's such a great and well done song. MWAMBIE YESU THERE'S NO ONE LIKE HIM🙏🙏📿

jacksonogugu
Автор

Instruments ziko bahali yake, sauti ni zile za MMG!!! 🔥🔥🔥

samuelmutuku
Автор

At this day on Sabbath day I feel I wanna live no more... Will Jesus on last time.. Pray for me brethrens

wambuitasha
Автор

Hakuna rafiki Kama wewe Yesu. Shida zangu zote nakuambia tawala maisha yangu. God bless you my brothers and sisters

jeptoobiwott
Автор

Mimi ni K. Muhizi Eulade mukaaji wa Mukamira-Nyabihu /Rwanda. Mimi na familia yanyu twawapenda sana. Nyimbo zenu zote Zina ujumbe wa kuuvuta moyo. Mwenyi Enzi Mungu awajazie mibaraka na mwisho tuulidhi pamoja ufalme wa mbingu kwenyi tutajiunga na choir ya washindi

kayitankoremuhizieulade
Автор

Hakuna rafiki kama YESU. Mubarikiwe Msanii group

danotieno
Автор

I'm a staunch Catholic but the way i sing almost all of your songs off head makes people think that I'm an SDA member. I really love your music🎤🎼🎹🎶

jacintambithi
Автор

🔥🔥🔥🔥🔥. Jehovah pekee yake anatujua zaidi nakutuelewa wanadamu safari yana mambo mengi yeye tu anatuwezesha🙌🙌🙌

judychemjor
Автор

Amen amen may God bless you msanii music group I keep on listening to your songs they inspire me

stellajepkosgei
Автор

Ameeeen ambia yesu sumbuko lako nimepona

damacklinekemunto
Автор

Just came from church and finds another beautiful song from my favorite choir. All of you look good. Greetings from Stockton California U.S.A.

robertoino
Автор

Wow what a wonderful song you should tell Jesus in what ever you are passing through 🙏♥️🇿🇲

norbertmwambazi
Автор

Kuna wakati kwenye maisha unakutana na magumu ata kuomba una shindwa wewe mwambie Yesu ata kuomba siwezi au kuna wakati unajikuta upo dhambini ata kumuomba Yesu kitu unaona hustaili we mwambie Yesu vile unavyoona kwamba Bwana Yesu mimi ni mwenye dhambi sana si stahili kitu kwako nakuomba unirehemu utashangaa kwanza atakupa uwezo wa kuziacha hizo dhambi hakuna haja ya kuteseka na dunia hii jamani tumuite Yesu yupo na anajibu vizuri sana ni mwaminifu kweli

furahakimaro
Автор

The acoustic guitar has done it melodious keep up blessing our souls Msanii

MistaToo
Автор

Msanii record never disappoint ❤️...mwambie yesu

funkejames
Автор

Kweli YESU ndie rafiki Tena msaada wa karibu.

peninakirita
Автор

I'm from Tanzania.You have captured my soul.keep it up.

mkilimamoses
Автор

And I am the first commenting genggeng 👏

millykihiubeautifullife
Автор

Tell it to Jesus my heart, mwambie yesu

missmakena
join shbcf.ru