Wadau waangazia hatua za kukomesha ukeketaji

preview_player
Показать описание
wadau katika kaunti ya Samburu wanaadhimisha siku ya wanawake ulimwenguni Kwa kusherehekea hatua zilizopigwa kulemaza ukeketaji wa wasichana. Haya ni huku ripoti ya shirika la umoja wa mataifa kuhusu watoto -UNICEF- likisema vita hivyo vinakwenda kwa mwendo wa kinyonga. Utamaduni wa kuwavisha watoto wa kike shanga,ndoa za utotoni na mimba za mapema pia zimetajwa kama changamoto kuu. Bonface Barasa anaarifu zaidi kutoka Samburu.