EXCLUSIVE: Je, Waliofariki kwenye MV Nyerere wote wamezikwa?

preview_player
Показать описание
Miongoni mwa watu waliofariki katika ajali ya MV Nyerere ni wenyeji wa visiwa vya Ukara wanaofahamika kwa kabila la Wakara.
Hawa wana namna tofauti ya kushughulikia maiti za waliokufa kwa namna tofauti, mfano aliyekufa kwa kuugua na aliyekufa kwa ajali hufanyiwa taratibu zisizofanana.
Je, waliofariki kwa ajali ya MV Nyerere wamefanywaje? Tazama hii
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Kweli waache mira za kikoloni Ukimwi umejaa

aishachambo