Jinsi ya | kubadilisha | Background ya video yako kwa kutumia CapCut

preview_player
Показать описание
Hii ni njia rahisi na haraka ya kubadilisha background ya video yako, kwa kutumia App ya CapCut, kwenye video hii utajifunza hatua kwa hatua jinsi ya kubadilisha background na ku save video hiyo

BIG_TALENT_TZ
YouTube Subscribe
Facebook as #Salum Suleiman
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Ukitaka kubadili rangi unafanyaje maana umesema lakin sijaona namna ya kubadili rangi

danieljacksonngenz
Автор

Mbona hyo app kwangu haina remove background

jpthesinger
Автор

Simu yangu ya Android imeshindwa kuinstall app hiyo nifanyeje (Infinix spark 5)

danieljacksonngenz
Автор

Mbona unapo isevu haisomi?? Inagoma kuplay??

hussainwilliam