Okoyecubz - Niache (Official Audio)

preview_player
Показать описание
EXCLUSIVE

#Niache Is Out Now
Songwriter by Montdedee and performed by me!
Audio Produced by LungwaBaddest

For Booking contact:
+255 625 066 006

Catch Up With

Song Lyrics

Verse One:
Sah akupenda ohh yanini mapenzi ninga'ang'anie

Masaa yanakwenda nisiyashike shati ning'ang'ane c bora niyaachie

Maumivu ya mapenzi ume force na mwiba moyoni unichome

Ukachoma tanuri ukachora sifuri ukaivunja na ngome!

Bridge.
Ulikua hodari anh ehh..
Nikakuona shwari anh ehh..
Umekua hatari ii..

We ulikua hodari anh ehh..
Nikakuona shwari anh ehh..
Umekua hatari ii..

Chorus.
Niache
Niache
Niache
Niache.

Verse Tow:
Usinipe pressure na vidonda koo
Usije nikondesha mwana wa mwenzako
Niache taratibu usintoe Roho!
Usije nifelisha mwana wa mwenzako (we niache..)

Kila siku kelele kwa nyumba kugombana
Ukilewa matusi unakuja nitukana
Sawa... mimi ni boya, mujinga ila busara nimefunzwa na Mama!
Raha ya mapenzi kupenda sio kugombana ah heh..

Subscribe My YouTube Channel 🙏
Copyright @2019 DONY GENIUS MUSIC Present .All Rights Reserved
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

unalala sana cubz
unatusubirisha leta kazi

officialltevoo
Автор

saa kupend yanini mapenzi ninganganie masaa yanakwenda nisiyashike shat

elishamsikola
Автор

the baddest
okoyecubz
kazi nzuri kaka

officialltevoo