🔴LIVE : RIPOTI YA LEO SIMULIZI YA AMBWENE SEHEMU YA 03 - AUG 28

preview_player
Показать описание
🔴LIVE : RIPOTI YA LEO SIMULIZI YA AMBWENE SEHEMU YA 03 - AUG 28
-
Blogger 📻 93.7 Dsm | 93.9 Moshi | 103.7 Arusha | 94.1 Iringa | 91.3 Mwanza | 88.9
Tanga | 92.5 Dodoma | 95.5 Moro | 102.9 Kigoma | 103.3 Mbeya | 93.7 ZNZ 📻
-
Follow Us On:
INSTAGRAM:
Efmtanzania:
TWITTER:
Efmtanzania
FACEBOOK:
Efmtanzania:
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Ee Mungu tusamehe pale ambapo tunapuuzia mahitaji ya wahitaji 😭😭😭
Jamani hapo kwenye kuchomwa moto walkosea sana, yani sufuria inatoa uhai wa mtu kweli!??

gracelyimo
Автор

Sin mtot ila imeuma sana kweny moyo daaah😭😭😭😭😭😭😭😭

GasperChidogowe
Автор

Mhuu Jamani Mungu atusaidie tuwe na Mwoyo ya huruma

JudithTwibonisye
Автор

Da!!! Tumbo la uzazi limeniuma ee Mungu tuhurumie sisi wanyonge

priscakanjanja
Автор

Simulizi ina uzunisha na kuelimisha tusiwafikilie vibaya ndugu zetu wa mitaani

EstherBankana
Автор

Kuna watu wanapita lakini mungu ni mwema

fora
Автор

Uwa napenda ukisimulia afu ukasema. Mmmhhh naomba Leo ufanye hivyo

AgnethaLugenge
Автор

Wanawake wana huruma sana ni vile wanakosaga nguvu za kutetea tu😢

kisumokrish
Автор

habari veronica naitwa chirstina nakupenda sana vero ❤

ChristinaRamadhani-wjpv
Автор

Simulizi inatia huruma Ila nimecheka part ya bibi kula ushibe nikidondoka unibebe

doricehungu