P-Square wazinguana tena, tatizo ni pesa na Mr P kumuonea wivu Rude Boy!

preview_player
Показать описание
Комментарии
Автор

Mungu awasaidie sana hawa mapacha 😢😢😢😢 daah kweli walimwengu siyo wa kuwapa nafasi

ramayonline
Автор

Shida 1 Mr p mungu kampa kipaji Cha kuproduse na kuchezea ila rude boy anajua sana mziki Sasa iyo so nzuri kunichukia ndugu yako mnaefanana kila k2 mungu akupi vyote rude boy msanii mzurii🙌

IbrahimShan-quum
Автор

Kila mmoja angaalie maisha yeke muziki umewashinda😢😢

abubakarimsere
Автор

Sio bure kuna mtu anawachanganya hawa watoto. Kuna mtu yupo nyuma anawachanganya hawa watu na huenda hatoki mbali huenda wako nae karibu

AshuuuBakari
Автор

Hawa nao utafikiri sio ndugu ?! 😢😢 Mbona hawapendani sana

ashurajengela
Автор

Mapacha huwa ni kawaida kutofautiana ila huwa wanapendana sana

Its_Goodluck
Автор

Peter mpambanaji sana aisee namkubali, huyu Poul bishoo

ngoniempire
Автор

Ndugu wakigombanaa chukua jembe ukalimee

franccoz
Автор

Mm ni shabiki mkubwa sana wa #Rudeboy🎉🎉🎉 jamaa anahandika sana

mfalmekaitaba
Автор

I feel sorry for them jmn ndugu tena mapacha wana gombana kisa money/music so sad I wonder her the mother is feelin

lovirinaa
Автор

Nikipata subs ata mmoja nitafurahi tanzania ni majirani wazuri nawapenda sana tunaishi nao mombasa vzr 2

Qqambaa
Автор

😂😂ila mr pesa ni muharibifu sana kwa kila idara

davidTentacion
Автор

Mama kwenye maishaa nisiraha kubwa sana

allymtunge
Автор

pesa haina ndugu niliongea na RUDE BOY aliniambia yote😊😂😂

DjMswati
Автор

Hawa jamaa walitikisa kwa vibao vyao moto moto, aise hawakua na mshindani ilikua sio pw

AFRICA_D
Автор

Hao jamaa naishi nao hapa Lagos Mr p anazingua sana hata kunisalimia hataki ... Sababu anajua naongea sana na rude boy. Jana nilikua nao studio walikua hawaongei

ClassicUsed-jgri
Автор

ulianza vizur ila mwishon umamaliza kama mtu asie kua na akili

tarickroshan
Автор

Hawapo siriaz hao mapacha. Wana hela, famous, wanapendwa, mahandsome, sasa wanataka nn na hao 😅

worldhappiness
Автор

watu wajifunze sasa....pesa hainaga adabu wala heshima😊....hao ndo tunaambiwa wametoka kifuko kimoja cha uzazi

HASSANBAKARI-qc
Автор

Nilijitahidi sana kuwapatanisha lakini mke wa Mr P akutaka niwe nakanyaga kwake, mpaka sahiv nimeamua kuwaacha na mambo yao, japo wananiomba sana nizidi kuwapatanisha

tomshiii