HUDUMA HII YA EMBASSY OF GOD FOR ALL NATIONS INAYOONGOZWA NA PROPHET IPM INAPATIKANA DAR ES SALAAM TANZANIA MBEZI BEACH MBUYUNI UKIFIKA ULIZIA KWA PROPHET IPM. AU PIGA SIMU
Kwani Yesu Alikua Na Mitume Wangapi Na Hao Wote Walenda Wapi Na Huko Walikoenda Si Waliendelea Kuhubiri Kristo Unadhani Wote Walifanana Katika Kumfikisha Kristo Kwenye Maisha Ya Watu Lazima Walitofautiana LAKINI Ujumbe Wao Mkuu Ni Kristo Kwenye Maisha Ya Watu.
victorMalinga-um
Amna mtumishi Amri kumi aliandika MUNGU kwa kidole chake kila mwanadamu anapwa kuishi kwazo. Soma 1 Yohana 2:3-4
[3]Na katika hili twajua ya kuwa tumemjua yeye, ikiwa tunashika amri zake.
[4]Yeye asemaye, Nimemjua, wala hazishiki amri zake, ni mwongo, wala kweli haimo ndani yake.
Wafilipi 4:13
[13]Nayaweza mambo yote katika yeye anitiaye nguvu.
ENEZAMBWAMBO-tqlj
Amina prophet
Nakuelewa sana hata mimi, umenifumbua vingi
MandelaKisunga
Hakuna Mtu anaweza kushika amri. that is point
luckymsomba
Mchungaji mafundisho Yako ni mia ya mia.amina
richardsalim
sisi washetani hatugawanyiki tuko pamona sana wanetu moto ni ule ule
healthytips-sv
Msingi wa ukristo ni hizo amri kumi sasa
KalebuSabato
Na ni Mungu aliruhusu ili litokee kama wanadamu wakikaa pamoja wakaelewana asilimia miamoja wanamkufurubMungu kasome habari ya mnara wa babeli utaelewa
teyllalugazia
YESU Hajagawanyika
Ni yeye yule yule jana leo na hata milele
CPHBarbers
Najisikia vibaya mtu akitaja Lutheran bila kujua kwa nini kanisa la Kilutheri lipo duniani na ndio ubayq wa kujifanya unajua kila kitu.
benjaminmbembela
Ukitaka kuwatawala watu wagawe .Divide and rule.
niceforymgaya
Imani tu isingekuwep maswla yadini tungeuwana sana tuishl kwa imani tukiamini kesho basi
HamadiOmary-hr
Hapana biblia inasema Mungu mmoja, iman moja na pia biblia inasema mkimpenda Mungu utashika amri zake soma vzur mtu wa Mungu
EricNgwegwe
Wachingaji nyinyi ndoshida kubwa Kila moja anafungua kabisa lake kwajili yakumiliki kapu la sadaka
HajjiMohammed-ts
Kwa bahati mbaya unahubiri kimwili.. Kiroho usingethubutu kusema neno lolote juu ya upendo hali hautaki kufuatilia kwanini unapaswa kuwa na imani moja? Efes 4:1-6
InivocavitTumainiel
Ni sawa ila atujamgawa Yesu ni sisi tumejigawa, nilitamani uwe padre kulikua na sababu gani wewe kuanzisha chakwako😮
josiacharles
Ongea machache jisemee wewe kua huwezi shika amr
RichardRich-sk
We chawa mbona husemi dini yako ya kiislamu kuwa ina madhehebu zaidi ya 60
ustawiwetu
Poor theological view na unawadanganya wavivu wa kufikiri👇👇👇👇👇👇👇👇
Yohana 14:21
[21]Yeye aliye na amri zangu, na kuzishika, yeye ndiye anipendaye; naye anipendaye atapendwa na Baba yangu; nami nitampenda na kujidhihirisha kwake.