SHABIKI KINDAKINDAKI MZEE SAIDI AILILIA SIMBA / AMWAGA SIFA KWA ATEBA NI KINU ATAWASAGA YANGA

preview_player
ะŸะพะบะฐะทะฐั‚ัŒ ะพะฟะธัะฐะฝะธะต
๐‘ช๐’๐’‘๐’š๐’“๐’Š๐’ˆ๐’‰๐’• ยฉ2024 ๐‘พ๐’‚๐’”๐’‚๐’‡๐’Š ๐‘ด๐’†๐’…๐’Š๐’‚. ๐‘จ๐’๐’ ๐’“๐’Š๐’ˆ๐’‰๐’•๐’” ๐’“๐’†๐’”๐’†๐’“๐’—๐’†๐’….
#wasafi #wasafitv #wasafifm
ะšะพะผะผะตะฝั‚ะฐั€ะธะธ
ะะฒั‚ะพั€

Twende kazi mzee side, kazi kuna kazi Simba nguvu mojaaa

Obia-td
ะะฒั‚ะพั€

Dah leo cjasikiliza nmemkosa mzee wangu asee sana mzee saidi muwe mnamleta

Bquality
ะะฒั‚ะพั€

Nakubakii mzeee saidi unajua sanaa duuuu

WazohilllUhasibu
ะะฒั‚ะพั€

Mmh!Yani Mimi lisala hizi tayari zishaanza, Kuna watu hawawezi kuongelea wakati uliopo, Hadi ianziwe lisala

EzraNyolobi
ะะฒั‚ะพั€

WASAF FM MNAUPIGA MWINGI SANA KWENYE MICHEZO NISIWE MNAFIKI

SadikiMapesa-sn
ะะฒั‚ะพั€

Uyu mzee saidi anafaa kupewa kipindi wasafi tv

mahmoudaziz
ะะฒั‚ะพั€

Lister Peter ni Japan kweli au anatujaza

petertemu
ะะฒั‚ะพั€

Mzee saidi rekebisha lister pitter n mwingereza na sio mjapana

CatherineLekule-lz
ะะฒั‚ะพั€

Sawa tukubaliane mzinga ni mtangazaji anakubalika na yanga na mpenja anakubalika na makolo, so azam watupe mzinga kwenye gem zetu

Rukaka_jr
ะะฒั‚ะพั€

Mtu akiongea utajua tu ni wa upande gani

juvenalschristopherkalewa
ะะฒั‚ะพั€

Mzee saidi unajua mupira nimekuerewa nipo kibondo kigoma nawapata nakupa mauwa yako

evaristmasigo