Familia ya Mhubiri GeorDavie yaonesha magari yatakayoshiriki Land Rover Festival Arusha

preview_player
Показать описание
Wakati Mkoa wa Arusha ukiwa kwenye maandalizi ya ujio wa tukio la maonesho ya magari aina ya Land Rover, ambalo limeandaliwa na Mkuu wa Mkoa huo, Paul Makonda, familia ya Mhubiri mashuhuri, Dkt.GeorDavie, imejitokeza kwa kuonesha aina mbalimbali za magari yatakayoshiriki katika tamasha hilo.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi
Комментарии
Автор

NABII mkuu dr Geordavie 🔥Mungu akubariki mtu wa Mungu

janethelly
Автор

Walasio mpigaji hiz nisadaka watowazo waumini wake.wajipongeze watowao sadaka na mtumishi wa mungu anajua namna ya matumiz yake hixo sadaka

JumaMartin-ev
Автор

Aaaa ni utukufu saa kwa Mtu mkuu wa Mungu kuonyesha nguvu za Mungu kwa Vitendo,
kupitia Magari yake.

danielmdachi-zy
Автор

Nabii mkuu ni Yesu Kristo peke yake! Acheni kumkufuru Mungu

siagideon
Автор

Mh Nabii mkuu Dr GeorDavie ni sahihi kabisa yeye kuwepo hapo alipo ni sawa kabisa mapito yake yamemstahili mungu azidi kumtunza Aishi miaka mingi

angela-kdiz
Автор

Kiukweli hapa ndio tumepigwa sadaka zinatumika vibaya dini ya ukweli mbele za mungu ni uisilam tu haina makuuu

jumambwambo
Автор

HAKIKA UFALME WAKO UJE DUNIAN KM MBINGUNI... 🌹✨✨UMELITUKUZA JINA LA BWANA SANA

vickgrace
Автор

Mie ngefrah san, , , kama huo mstari waefeso ungetoa kichwan, , , mtot wa nabii mkuu

JosephkelvinKelvin
Автор

Jamani zidisheni fungu la kumi watu tuongeze ma range kwa family

HajiPazzy-ocbi
Автор

Wafuasi ndio washenzi wanaoishi Mabatini😢😢

maxwellayoo
Автор

Hubiri YESU .... YESU yuaja tubuni hakika wacheni kujionyesha

rufusmutahi
Автор

Naomba muelewe kuwa nabii mkuu Geodavie hayo magari siyo sadaka za waumini lakini nabii mkuu anafanya biashara ya madini (anao mgodi wa tanzanite) hivyo kupata maendeleo kwake ni kitu cha kawaida.

alfredmubi
Автор

😂😂😂😂😂😂😂eti Mungu katubariki, , , , utakatishaji wa sadaka nako ni kubarikiwa, , , magari yoye hayo, tena ya aina moja, , , kweli imeandikwa siku ya mwisho watu wataoenda pesa, na ndivyo tuonavyo leo, hofu ya Mungu haipo hata kwa viongozi wa dini, , eti mtoto wa nabii " hovyo kbsa" ona makope hayo, maywele, , ku wapi kule kujipamba kwa roho wa kristo kusipo kwa mwili, mavazi na vitu vya thamani kwa wamchao Mungu?

coolruler
Автор

TUMEPEWA KUMILIKI NAKUTAWALA MNAOBISHA HAMUMJUI MNAYEMWAMINI....

vickgrace
Автор

Sasa waalikeni kampuni ya Land Rover kwani wanafanyiwa promotion free

amtze
Автор

Za kuombea kura alafu mpige kimya au mtatimiza

HellenLemilya
Автор

Tuseme arelulia kwa range za mchungaji

HajiPazzy-ocbi
Автор

Acheni Kulia Nendeni Mkaoe Mtoto Wake Mkichemka Naenda Mimi Kusimama Nae We Baki Kuchukia2

AwaziRajab
Автор

Gari za maana barabara mbovu yaani hazifai

EricUbalijoro-xl
Автор

Mimi naomba hii comment yangu binti yake jamani aisome. Binti maini, binti nta, mtoto kaumbika. Yaani achana na huo utitiri wa ma range, angalia binti kwanza aisee.

saidmfaume