“MoneyFest hawaonyeshi interior yake ju wanajua imeuma nje,” mnasemaje? MoneyFest ama Matrix?

preview_player
Показать описание
“MoneyFest hawaonyeshi interior yake ju wanajua imeuma nje,” mnasemaje? MoneyFest from Rongai ama Matrix from Embakasi?
#matatuculture #matatugalore #matatu #nganya #mathreel #matwana #matwanamatatuculture #theburnoutshow #matwananation #mathree #matatu
Комментарии
Автор

But being honest interior ya moneyfest imeuma inje haijafikia hadi restoration na inajicompare na matrix how is that possible 🤔🤔🤔

SmilingPanther-fzrp
Автор

Na mjue kenya 1 itakuwa umo.. mzoe 🇨🇦 Rong Popa

diddiousdenali
Автор

Investor wa Matrix amefail Kenya 1...😢😢😢
Na watu wa Ronga mjuwe ata Fest ikitoka riko bado mko chini...😅😅😅
Ibieni Matrix interior ndio mjaribu kucompete nayo sasa...😂😂😂

youngmichael
Автор

😂😂acha tutoke Toronto tuwafunike na izo mawe zenyu mbili

michaeljuma
Автор

Kama unajua mkondo tufolow folow the Kenyan one matrix siku zote 😂

CurrieMwendwa
Автор

Manganya zote zinaenda rongai, tuseme tu ukweli.

zackhisa
Автор

Ati interior ya moneyfest Nini muwache Wivu adi nyinyi😅😅😅

ElvisWaweru-kjrh
Автор

mbona uongelei debe matrix debe akuna venye iko moneyfest ndio kinyambi

frwieszbassist
Автор

matrix iko poa fiti mutu ana weza koboa mat age

DANIELMURIMIMAINA-nn