PUMZIKA KWA AMANI KEFLEN MASHAURI

preview_player
Показать описание
HERI WAFU WAFAO KATIKA BWANA TANGU SASA!
Kwa sababu Bwana mwenyewe atashuka kutoka mbinguni pamoja na mwaliko, na sauti ya malaika mkuu, na parapanda ya Mungu; nao waliokufa katika Kristo watafufuliwa kwanza.17 Kisha sisi tulio hai, tuliosalia, tutanyakuliwa pamoja nao katika mawingu, ili tumlaki Bwana hewani; na hivyo tutakuwa pamoja na Bwana milele.

~ 1Thessaloke 4:16-17

Tarehe 23 mwezi March 2018 ndipo ulipotutoka mpendwa wetu Keflen Mashauri, tizama sasa mwaka umetimiza hauko nasi. Pumzika kwa amani mpendwa wetu.

Bwana ametoa na Bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe.