BREAKING: POLISI “MBOWE, LISSU, LEMA TUMEWAKAMATA, HAWAJATEKWA”

preview_player
Показать описание
Kamanda wa Kanda Maalum DSM Jumanne Muliro amesema wanawashikilia watu 14 akiwemo Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman MBOWE, Makamu Mwenyekiti Tundu Lissu na Mwenykiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini Godbless Lema
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Ahsante jeshi la polisi!!..Mungu awabariki nyinyi ndio usalama kwa damu wanaotaka kuvunja amani HII WATILIENI na hawwana adabu

husseinabubakar
Автор

Wapumbavu tu wote hao maandamano yapo kikatiba unazuiaje ujinga mtupu na kutumia vibaya rasilimali za taifa na kodi za watanzania, DEMOKRASIA GANI sasa ipo ktk nchi hii ???? Au kuna UBEPARI NA UDIKTETA

kagusanewstv
Автор

Viongozi wetu sio watuhumiwa ukidaii hakiii nchiii hiii unakuwa mtuhumiwa

bahatimellita
Автор

Polisi wanapitia taarifa inatia moyo, ingekuwa hivyo tangu mwanzo watu wasingewalaumu

nenolauzima
Автор

Wokoweni watoto waje kuwa na maisha jengeni taifa polisi mchikamane na jechi kulinda amani msiyingiliye siyasa fundicheni watoto masono ya science ili badayi tuje kuwa kama china tumepoteya sana wa Africa

ClementJohnson-jy
Автор

Asante sana police.Sheria izingatiwe wakufata na kutii Sheria niwatu si mit na ngombe walizalau mahakama wacha ikawafundishe nyinyi ndiyo raia wakuifata na kuitii katiba kwa usalama siyo kuikanyaga na kuwafundisha vijana katiba si lolote adabu ya taifa ipotee kwa watu 5au 6 wasibitishe taalifa wanazo zitangaza kifo cha Ali mara ya mwisho alikuwa nanan siku2 kabla ajafariki.nani alijuwa ali atasafiri kama siwao Alie tangaza Ali kutekwa wamwanzo nani.ali kafariki nawao walizitowa wapi.HAKI haipotei ila inacheleweshwa mwenyezi mungu ni mjuzi wayale yanayo jificha nakisha uiziilisha haki ata kama iko ndani ya jabarin kila mtu kila mtu Hana haki ya kujibu maandamano hii ilikuwa ninjia ya ya Ali apate haki nafsi zingine azizurumiwi Ovyooo wabebe kesi Yao ya mauwaji wajuwe maigizo yana mwisho wajue taifa ili ni lawatu wema siyo wauwaji watu kwani nitaifa lililo pewa hadhi na mwenyezi mungu lakuwa patanishi la mataifa waulize mataifa mangapi yaliptata amani kupitia TANZANIA

ibrahimjuma
Автор

Eti watuhumiwa ona sura yske kams ubao wa chapati

SalmaAthuman-hpen
Автор

TUFANYENI KAZI TUACHE USENGE WA KUANDAMA TUPAMBANE KAZI

ONFIRETV-cfkg
Автор

Watuhumiwa wanini mbona wewe ni msenge sana acheni kujifanya miungu ya samia na miwani yake mwambieni samia she’s nothing.

AlouiseNgenDanDumwe
Автор

Hio si democrasia kwamba nchi hii ni ya watu wachache

RaibebeBebe
Автор

Washughulikiwe hao wahuni hasa Mbowe na lema .

clemencemkondya