🔴Taarifa ya Habari ya Saa Mbili Usiku, 05 Julai 2024

preview_player
Показать описание
#itvtanzania #hapanapale #mubashara
Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

nawakubali kwa habari nzuri na za ukweli na uhakika

MandoliiMoshi
Автор

Mbona hukutowa tarifa mapema hadi kesi ikaenda kamati ya bunge. Na msamaha wakodi fafanua acha kutuongopea sisi tumesoma kama wewe.

emanuelsinyinza
Автор

Kwani alibakwa? C alitafutwa kutokana na mahusiano Yao?

bibieismaily
Автор

Jamani tufike mahali ambapo tutabainisha ukweli, na hili nalo ni la Rais? Watoto wetu kwa Sasa Wana huluka na tamaa ya pesa na pia wanatumika sana kwa watu ili watimize malengo Yao! Binti ni ametumika kuwa kwa aliyekuwa mkuu wa mkoa huyo? Kila kitu Rais na hili?...hapana?

bibieismaily