Haki Raf hajatesa mtu haya yote anapitia kwa ajili ya kutenda haki😢😢, Mungu ni wewe tu umebaki mwenyewe mapenzi yako yatendeke.😢😢😢
lilianmbeyu
Ghaaaiii, , mungu msaidia raf aki please 🙏, , , mungu ucituaibishe aki, ,
felistus-nr
Mungu raf amefanyia mazuri mbele yetu ameokoa reho nyingi za watoto.mukumbuke Kwa hao
CharityChao
Hawa wakishikwa watolewe figo pia ziuzwe na wamalizwe😢😢
Sarah-iwcg
msipo okoka mtaripia hapa duniani, nyinyi ni vijanawadogo kwa nn hamtaki kuchoka kama wanaume wezenu, kazi yenu haina baraka za mungu ni laana tupu Ooh God protect our generations in Jesus holy name amen 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
ShiroNgure
Pia nyinyi, wembe ni ule ule, 😢😢 pole RAF
sylvia
😭😭😭Mungu wang Kwan bado hawajamuokoa mtume alijua haya haya tokea alisema atarudi kuja kumpa raff mwili mwingine daah
MaryamMaryam-kf
Ooh lord mbona hivi aki 😢😢😢😢lord remember mercy 🥺 mtume azizi plz tuna kuhitaji huku
mumblessed
Mtakufa vibaya nyinyi magaidi, ,but mungu atasaidia raff
gakyjaklin
Fanyeni yote mtakavyo siku yenu iko karibu Niko na ujasiri ya kufahamu raff hatakufa mtume aliahidi kumpea mwili mpya in Jesus mighty holy name juu raff Hana makosa ndio ayapitie haya
emmahkamande
Walai government inaona hii lakn hawaezi saidia😢😢
IreneMtoto-unlg
Unaua kwa upanga nawe utakufa kwa upanga hamna akili kwani hamuwexi tafuta kibarua yoyote kufanya ni biashara za maisha ya watu ndio munaona mungu shuka teketeza kazi ya shetani
CarolineVijedi-sn
God with love actually is so painful you gaindi ata hamtakuwa na amani Pepo mshidwe katika jina la yesu kristu
Essy-oz
Ak nyinyi Mungu wetu alali na nyinyi mkufe ivyo ivyo
TrizaMo-ouxs
Yaani kuua watu dio imekua biasara aki, Mungu wangu
joycekimani
Oooh my God of mercy help raf from this evil people
Kahairebeka
Naipenda Tanzania yangu Tanzania 🇹🇿 ♥️ ❤️ Mungu ibariki Tanzania Mungu ibariki Afrika Mungu ikomboe Kenya 🇰🇪 ♥️ jirani zangu
AnnaMarandu-go
🤔🤔🤔😭😭😭 God please tumesononeka why!!!!????
RuthKibiriti
Alafu mko hapa mnatoa pesa ety ooh, na hakuna kitu chenye wanasaidia akina raff, juzi tumejanga ety watengeneze gari ili waendee stano wapi, mungu awasamehe kwa Yale mnafanya mambo kwa jina ya mtu,
Nora-qxi
Serekali iko wapi jmn yani raff ndo basi Tena 😭😭😭😭