DIANA KIMARY afunguka ‘Depression’ ilivyomtesa MAREKANI ‘Sikuona tena thamani ya maisha’

preview_player
Показать описание
Комментарии
Автор

Diana unajibu maswali vizuri sana jana embu kama umeona hilo gonna like

veridianacharles
Автор

Anaekubuli kuwa Yesu ndiemwamba Like hapa❤

dianaruranga
Автор

Nimekupenda sn Diana unajua kujieleza pia muwazi hupendi kujikweza ww ni jasiri kupata mtoto wa kwnz bila kuwa na mzazi karibu mtihan, wengi tumejaaliwa mtoto wa kwnz tukiwa na wazazi karibu yetu au ndugu wa karibu, big up Diana

ZenaNgalla
Автор

Kanasema ukwel kabint ka watu nimekapenda❤hajikwezi walaaa

SekelaJakson-lsdd
Автор

ujumbe wa interview yote ni kwamba Yesu ni mwamba imara. I salute you Jesus.

rehemadaudi
Автор

she is direct and straight on responding questions - Yani amekuwa na style ya kizungu kabisa hadi raha - kweli ni leader huko anakofanya kazi nimekubali.

emanuelsolomoni
Автор

what a great interview nime jitunza mengi zaidi Asante the struggle is real depression Ila Mungu tu ndie tiba (bila utani KWELI)

agathajuma
Автор

Interview imenyooka sana karibu nyumban tanzania @diana na aunt yetu Brie ❤

jackycharles
Автор

Yaniii nmeipenda yuko straight to the point... 100 reality hajataka ku fake. Iko very professional ❤

MarthaMassao
Автор

Diana mdogo wangu nakupata vzr sn, Alafu huyo pastor Tumain Ryoba Namjua ni mtoto wa Bishop wangu marehemu Zephania Ryoba upo sehemu salama hongera sn, Ni chimbuko la Calvary assemblies of God, i love you so my young sister ❤❤ ❤ 🔥

LoveAron
Автор

She so confident, very real, nilichopenda zaidi she accept who she is, she don’t care about the past, she’s not a lier.i love what i see inside her pia amekua sana sana especially kiakili is not like hakua na akili before but ame grow very negative.

mayatione
Автор

Upweke ni kitu kingine jamani Kuna Kipindi nilipitia lkn namshukuru pastor tony kapola Amenisadia saaana

Zuhuranadadoita
Автор

Mama n mtu anapitia magum sanaaa kila mama anamapenz ya Dhat kwa mwanae....Allah bless all Mama's

yusramichael
Автор

nimeenjoy sana na nimejifunza vingi thanks diana❤

robertpropheticchild
Автор

Very good interview. Diana anajieleza vizuri sana. Good job Sky

cecykaitanus
Автор

Mungu azidi kuwabariki Pastor Tumaini pamoja na mkewe kwa kazi yao njema ..
Mungu akutunze Diana.

DEEP.WORSHIP
Автор

Nimependa alivoenda chooni akapiga magoti kumuambia Yesu.. ❤❤❤❤

lilymushi
Автор

Ila nakupenda sana diana wangu uko mkwel sana❤ hakika mungu ndio huwa jibu la kila gumu kwenye maisha

gloryjohn
Автор

Nimekuelewa sn mydear, huku Marekani bila Mungu huwezi, mimi nilifika kipindi naona nachanganyikiwa lkn nilipopata kanisa na marafiki wa kanisani nimebadilika sn na moyo wangu umetulia napiga tu kazi

sayunimrocky
Автор

❤❤❤❤❤❤❤ Mungu ni Mwema sana. Thanks for sharing experience it heals

tabithakitundu