Meli yenye mionzi ya nyuklia yang’oa nanga bandarini Mombasa

preview_player
Показать описание
Vyombo vya habari vya Kenya viliripoti kuwa melihiyo ilitiananga katiaka bandari ya Mombasa, ikiwa imesheheni taka hatari za nyuklia ambazo zilipaswa kutupwa katika pwani ya Afrika Mahariki na hivyo kuhatarisha afya za mamilioni ya watu katika eneo hilo

Shehena iliyokwamo kwenye meli ya MV Piraeus Voy ilifanywa ionekane kama shehena ya makufuli na vifaa vingine vya ujenzi na ilizuiliwa bada ya Wizara ya Afya ya Kenya kutoa tahadhari kwamba ilikuwa imebeba nyenzo za mionzi
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Kwa maoni yangu waafrica tungeshikamana na mataifa ya waarabu kuliko haya mataifa mengine nyuklia ni hatari sana kwa uhai wa mwanadamu kwanza waarabu wana hofu ya Mungu ingawa binadamu hatukosi kasoro lakini mataifa ya wazungu wachina na wahindi hawathamini kabisa utu wetu.

williamsville
Автор

Asanteni sana jirani zetu kwa kuizuia hiyo meli ndiyo maana kumekuwa na mlipuko wa mafua vikohozi na homa za mara kwa mara huenda hiyo meli iliyobeba taka ndo chanzo cha hiyo milipuko ya magonjwa

williamsville
Автор

INFORMATION IS POWER, MUNGU IBARIKI AFRICA, MUNGU IBARIKI TANZANIA.

saleheomari
Автор

Ndio mana kila mtu anaumwa thenx kenya 🦶🦶🦶🦶

seifmohamed
Автор

Wabongo huku wangepokea na kukaa kimyaa..🤔

muchumissingo
Автор

hii serikali jjamani ya huyu mama sijui ataondoka lini mana mambo yale yale ya kabla magufuli yamerudi tena hiyo meli nina uhakika itarudi tu tena bongo kinyemela na laiti kama isingepitia kwa wakenya tusingeyajua haya tungekwisha huku sababu yao magamba mana lazima vingeingia huku hivyo vyombo ni ufisadi tu,

d