MFANYABIASHARA ULOMI ALIYERIPOTIWA KUPOTEA AFARIKI, HOSPITALI YA MWANANYAMALA WAFUNGUKA

preview_player
Показать описание

Комментарии
Автор

Dah 😭😭😭 nimeumia mm sijui kwann mungu mpokee japo simjui hata

AnnaKavwanga
Автор

Mungu ndo hakimu, mnawinda roho za watu, mnaacha hai roho zenu, ipo siku 😢😢😢😢polenii wanafamilia ya ulomi

tataLil-iv
Автор

Nilikuwa nasubr Millard Ayo apost ndo niamin kumbe kwel 😭😭😭

MakaNkoka
Автор

Mwanamke anajua😅😅😅😅
Wanamme amkeni ..
Mtakufa😅😅😅

allymwakomola
Автор

Ongezeko la wajane linazidi mungu awatie nguvu wafiwa

HopeShirima
Автор

Ndugu zangu watanzania akuna siku mwenyez mungu atashuka kuja kututetea inabidi sisi wenyewe itabidi tuchukue atua

HaruniHaruni-wi
Автор

Pumzika kwa Amani kaka mwanga wa milele akuangazie eeh bwana 🙏🙏

goodmark
Автор

E mwenyezi mungu tusaidie wana wako na taifa letu, am in tears

augustinesombi
Автор

Mungu awatunze na kuwafariji watoto na mke. Mungu asimame mwenyewe kwa Taifa letu. Tuliombee Taifa letu

godfreylyimo
Автор

Kwanini kila siku kuwe na Unknown Person Mochwari kwani zile alama za vidole zinazochukuliwa na Nida hazifai kutambua miili ya watu ambao wanapoteza maisha au wanaopelekwa hospitali halizao zinakua mbaya hawajitambui, au Mtu akifa zile alama za vidole hazifanyikazi tena? naomba wataalam mnijuze hili maana nashindwa kuelewa hadi leo🤔

benjaminyohana
Автор

Dah imeniuma
Huyu kaka namfahamu aisee

nereaigogo
Автор

Tanzania eeeeh...inchii yanguuu ohhhh#tongwa record

StevenTaylorx
Автор

Inna lillahi wa inna ilaihi rajiun 😢masikini kwanini lakini jamani wampotezee uhai Mungu awalaani wasipate amani nawao kwenye maisha yao wapate misuko suko

Sidrasidra
Автор

Inalilah wa inalilah rajuhun Apumzike kwa Amani 🙏😭😭😭😭 pole kwa wanafamilia

TatuHusseni-hsmu
Автор

Inaumiza sana 😭😭😭, hivi mwananyamala ni mkoa kweli! Au mi ndo nimesikia vibaya?

Godfreyolekidongo
Автор

Duh!
Ameniuma kama namjua
Apumzike kwa amani

iluminatamgamba
Автор

Inalilahi wainalilah rajighuun polen wanafamilia pamoja na jamaa wote

ChausikuAli
Автор

RIP kaka, jamani kiukweli inawezekana ikawa ni ajali, mtu anaeijua Dar ataelewa ni mara ngapi umekuta bodaboda kagongwa ukasimama kusaidia au ajali yoyote ile?!, kwahiyo kwa Dar mtu kugongwa tena mwenye pikipiki yani anaweza akasubili either gari la polisi lije au bodaboda wambembe kumuaisha hospital, na kawaida watu wakimfikisha hospital tu wanasepa, kiufupi kama pikipiki ni hatari sana sema ndio hakuna namna, tujifunze kitu katika maisha hakuna neno kuwai, kama kitu kinashindika na leo subili kesho sio kupanda pikipiki kisa unataka kuwai.Pole sana kwa familia Mungu awape uvumilivu

rugijofrey
Автор

Dah pole Sana kwa mke wake pamoja na watoto😢pumzika salama kaka

lumamichombochayesu
Автор

Huyu mama anavo ongea kama katengenezwa kwa watu wajicho latatu tunaona

adoniemanuel