MJENGO WA MWIGIZAJI WOLPER YASHITUA INSTA, WASANII WENZAKE WAMPONGEZA

preview_player
Показать описание

Комментарии
Автор

Duuhh nyumba kama hekaluu....hongereni sana mr & mrs rich

maryamshabani
Автор

Hongera sana kwake mpambanaji mchaga wanguvu 🎉🎉❤❤

happyswai
Автор

Well done. Hivyo inavyotakiwa, kufanya mambo kimya kimya mpaka utilimishe.👍

stellahanssen
Автор

HONGERA SANA OLPA KWANZA NDO MSANIII NAEMPENDA ALAF UMEFANYA KITU KATIK VITU AMEN

Officialjidaa-sncs
Автор

Afazali Yani huyu dada Yuko busyy na maisha yake na walikuwa wanamzalau

EzekielDebora-cdib
Автор

Huna baya mchaga wangu wa nguvu barikiwa sana

DM.
Автор

Si mlusema hana kitu kafulia stress zinamsumbua"Leo katoa wapi nyumba😢

khadijayusuph
Автор

Kajenga Mwanaume lakini sifa anapewa mwingine au kama wamejenga wote sifa wapewe wote ….

toshirohitsugaya
Автор

Hawa naamini wamejenga kweli, Lulu na wema wakati wametifuana Lulu alionyesha kuwa anajenga lakini baadaye ikawa kimya sijui aliishia wapi

happynelson
Автор

Vitu vingine siyo vyakuposti shetani nae anashikia hapo hapo

nasraAl-bw
Автор

Ida sema tukuskie Tena na huyo shoga lokore na yure Fara mwingine sijuwi anaitwa idirisa mseme Tena hamkusema hatukusikia mseme tusikie mmedharirika na arivvo mujanja majibu yake yote hakuwajibu anachotarajia kuzinduwa arijikaria kimya na hakusema Kama mume Yuko karibu kurudi arijuwa mtapata aibu wenyewe MORA kawaumbuwa, nasisi tunawazomea😅😅😂😂🤧🤧🤧🤭🤭

khadjamhozya
Автор

ushaur wang kwa mam p apige magot na kumuomb mung sluu ya ndoa yake unajua shetan ana pamban sn na wana ndoa ten ana leta mafarakan makubw sn ila ukiijua kwel nayo kwel itakueka hur asem bwn wamajesh ndg pand mbegu bor kwa manufaa ya watot ako badae

lovemichael-jj
Автор

Nyumba kubwa lakini material local sio pvc madirisha

FredrickMatiku-xfuk
Автор

Kweli ile ya mzaramo ni banda la walinzi wallah!!!

sophiakimaro
Автор

Sema wasanii ni waongo waongo yani mimi siamini yani.

gorbywilliam
Автор

Mwenyenyumba akiiona hii post mtahamishwa

MusaHamis-ozrg
Автор

Nimemuona Rommy anasema hamna kitu hapo...why...??? Msimchukulie powa hii ni roho kamili...

janethjonas
Автор

Muiteni Dida aone nyumba siyo banda lake

juniorndambalilo
Автор

Usisahau kumwagilia moyo kidogo sio mbaya baada ya kazi.

emanuelmacha