filmov
tv
#LIVE SEMINA YA NENO LA MUNGU 18.JULY 2024

Показать описание
KARIBU KATIKA SEMINA YA NENO LA MUNGU HAPA CHANG'OMBE CHURCH.
Kwa wewe uliyeko mbali Usiache ku subscribe katika YouTube channel yetu (CVC TV) ili tuweze kuungana pamoja.
Ibada zetu zote zipo #live kupitia (CVC TV) ibada za jumapili , ibada za morning glory pamoja na ibada za mikesha ya Neno la Mungu.
Lakini pia unaweza kuungana nasi hapa AICT - CHANG'OMBE - SOKOTA kila siku za Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa kumi na mbili asubuhi mpaka saa moja kamili katika ibada zetu za asubuhi.
Barikiwa!
#livestream
KWA MAONI NA USHAURI TUANDIKIE KUPITIA
NAMBA : 0765-886-888