If only all Men could set records straight this way, 😍😘😘😘Plats& Diamonds
rozitoh
Supreme taste of Music, go on Diamond, see You at the top where you belong, a star lighting the stardom for them rest to see a guide on how real music should be.
nobertakoto
I just can't get over diamonds voice.Good job east african brother.
ruterewanjiru
Simba noma xna uwa sina shaka na kazi zko!
stevenbandoma
Nice simba usiangarie sura we tusuatu
rukasbabaparoko
DIAMOND ni best ndani ya ma best sbb ni jasiri sana kiac wachache wasio penda maendeleo wakuseme vbaya sbb we unajua acha2 waseme wapendavyo we mti wenye matunda bwana, Na kwa madem utapata2 alotulia n kukuenzi ucjali achana nao ao ata uyo aliekuzalia dume na mwari kama azingua achanae Kunguru afugiki mdogo wng
suleimanabdallaali
I like your layric mr plant in am diamond keep on it's nice
josephatjohn
Pole sana diamond..Its sound soo painful just be strong ad concetrat with your life wachana na wanawake....
roseirungo
Duuuh! Kweli simba ni simba tu# hii ngoma umeua nikali ile mbaya
othumansuleiman
Yaani sijui how many time I listen this song per day sitosheki kuskiza
zippyzippy
ngoma safi baba Nillan, nakuaga nmezimia izo mistari za ngoma nazo big up..
kelvinjuma
Wa central sio wazee we mwandishi umezingua
fadhilileonard
unavyoimba kwa hisia ndo ukome sasa mapenzi sasa wewe basi🙌
roselaurence
Nzuri sana hongera Bw platinumx
shibinaashia
yan inaniingia mule mule yan big up sana ba nillan
saraphinamsemwa
nice dangote nakutafuta sana naezaje kupata niingie wasafi records
sharngilo
Aiseee yan hii nyimbo sijui kaitengenezaje, kwel ww fundi sarut kwako, na kuanzia sasa uwe unajiita FUNDI
mrabdully
Kudadadeki noma sana kijana ndoomana nakukubali ila sikuukiachana na zari ujuena Mimi katika ushabeki umenipoteza sana simba
eradiusanthon
Yaan hpa Mondi umezidi kuwadhihirishia km wew mkali du hii ngoma kali xana tena xana plz hii inatutosha hata trh 1/12/2017 kesho kubwa uctowe iyo ngoma uloimba na Rick Ross hii inatutosha maana inatibu magonjwa km 90 da wew bx tena saluti