ASANTENI MASHABIKI WOTE MLIOJITOKEZA KWENYE MCHEZO WA WETU DHIDI YA TABORA UNITED

preview_player
Показать описание
SUBSCRIBE NOW:

About the Official Simba SC YouTube Channel:

Simba Sports Club is the most successful club in the history of football in East Africa. Enjoy the best goals, highlights, tricks, new players, training's,exclusive interview and live press conference

🔵🔴⚪ #NguvuMoja #Wenyenchi
Комментарии
Автор

Ifike hatua na Sisi kama Simba timu kubwa kwa ubora barani Africa tuwe na uwanja wetu kama unakubaliana na Mimi gonga like apo

veranimrosso
Автор

Simba nguvu moja
Ishallah tutakuwa kwenye ubora zaid

BeatriceLeonce
Автор

Alhamdulillah Rabillah Allah miinnah 🤲 kwa ushindi munono wa jana

iddiramadhan
Автор

Who is playing no. 10 in Simba ( if Ahoua is responsible for that task) ...then we need to let him know ' SIMBA its a big club - in Africa ' no. 7 so we know MVP's they have been path here and there ... Ahoua we need you to connect our striking force ' ... Why is it too difficult for Ahoua play as Mutale ....!?

othmanwaziri
Автор

AWESU ACHEZE NAMBA 10. ANAJUA KUCHEZESHA TIMU

Jerie-qc
Автор

Kati ya viwanja ambavyo vipo mjin basi hiki ni no 1 simba hata pata shida kuwa na mashabiki wengi kwenye mechi zake kwakuwa ni kalibu tu

IssackJackson
Автор

Viongozi wa Simba tujitahidi uwanja wetu tuweke majukwaa ili tucheze kwenye uwanja wetu

kombamuhili
Автор

kwa hali hii ndio tujifunze angalau tuwe na uwanja wetu kama huu ili mapato yawe yanapatikana kwa wingi maana kwenye mechi kama hizi kujaza uwanja kama huu ni easy ila mechi kubwa ndio twende kwa MKAPA

kigotymeentertainmentkigoy
Автор

Hivi Simba kweli tunashindwa kujenga uwanja hata kama huu wa KMC billion 6 inatushinda kweli?

gabriellaizer
Автор

Fred Michael acheze. Tunataka tuone huo ubovu wake. Tusimuache nje muda wote

lwelenjalferdinand
Автор

Hii ni aibu kubwa timu kubwa kama Simba inapaswa kuwa na uwanja wake😢 tunaenda kuwanufaida kmc kweli?

barackmoses