Wote wanahitaji kupumzika, wamefanya kazi nzuri ya siasa kwa muda mrefu, wangewaachia wengine vijana.💪🏽🚶🚶🚶♂️🚶♀️
MarycG
Safi sanaaaa, RUSSIA/PUTIN na washirika wakE
msukumamnywamaziwa
Nchi ni mzee watawaLa ni wazee hivikaribuni, innalilaahi, wainna ilayhi rajiuun, ,
NuruJuma-zvyz
Putin mwamba hapotezi mda kuangalia mashoga
omarymwaluko
Aliutazama, hawezi acha kuangalia kwani Marekani inamuhusu imemkalia Koo,
bonifasiemanueli
Hii haimaanishi kuwa Putin hakutazama mdaharo, alitazama ila sio kwa kuweka alarm. Wakati debate inaonyesha kwa muda wa MAREKANI, ilikuwa ni saa 3 kamili Usiku kwa Tanzania ilikuwa ni saa 10 kamili alfajir sawa na Urusi saa 10 kamili alfajir. Kwa sababu tofauti ya masaa kati ya US na Urusi ni masaa 7. Sisi na Urusi hatujatofautiana. Sasa kwa Putin kuweka alarm aamke saa 10 asubuhi ni vigumu kwa jambo ili badala yake watu wake wangefanya kazi hiyo na ndivyo ilivyokuwa nahisi.
kingpunzy
🤣🤣🤣🤣inaumaeee bado mtakoma AFI mtu hapa
EstherJulius-cvtk
Namkumbuka Magu alikuwaga na msimamo kama huu.
worldhappiness
Sio kwel urus hiyo ni dunia bila shaka Putin tuliunganae kutanzama huo mdahalo