Tunaona wazi watawala wachache na waliopo kwenye mfumo wa serikali ya ccm wakiishi maisha ya anasa na kusaza wanavyotaka, Wanatibiwa wanakotaka, wanasomesha watoto wao wanakotaka, kuwaajiri mishahara minono na kuwapa mitaji wanavyotaka, magari ya kifahari, mafuta bure, umeme 24/7 haukatiki, maji safi na salama 24/7 hayakatiki, kuingia mikataba na kutapanya rasilimali zetu wanavyotaka, Wanapanga Kodi na tozo kila mahali zisizolingana na hali zetu, Wanakopa tulipe sisi wanavyotaka. Sisi wananchi mamilioni tunaishi kama yatima, tunaowabeba kama watumwa kwa kudra za Mungu tu!
elibarikimollel
Big up San mh heche mungu akubariki san
KesuYeile
Hongera Kwa good supich upewe mauwa yako
pastorlbahinyuye
ccm sio dira ya tanzania wameishiwa mbinu
saidybhoky-lbhg
Pole kamanda naona mvua kubwa lakini kazi unaipiga kwa kwenda mbele
LoitushulYamat
Hahahahaha😂yani siasa siiwezi kabisa ni kuunga unga maneno tu😂
JacksonMartin-pbvq
Emewasahau, Halina, Msigwa & Mbilinyi Sugu.
ChristerShao
Uko vzr Heche.. yan umetema madini tupu
emmanuelmayunga
Uko na elimu lakini, , huwa mnachelewa kutoa.. Inafaa mtoe kama shule kwanzia January mpaka December.
jemeslaizer
Hatutaki vurugu, wala uchimbaji bungeni.
TheNichym
Hivi naomba kuuliza CCM wakisikiya maneno mazuri kama haya wanajisikiyaje? This man akili yake inawapita wabunge wote wa Tanzania
ChristianMkumbo-ixke
Kwahiyo tumepandisha kibendera cha kijani na tu
williamkeita
Tatizo mnamachawa yanaounga watesi wetu,
HijaSaid-xdfg
Nyie Badala Ya Kufikiria Kututka Sisi Wananchi Katika Utumwa Huu Tunaopitia Wa CCM Mnafikiria
usafiaps
Maona MANANGA mengi hapa mwisho kwenye comments. Wasenzi, maji TAKA. MACCM yamewaloga!!?
ezekielmabwai
Ww unafaa kuwa mwenyekiti utachukia kijitii
lucksonrupa
Mungekuwepo ila hampo imekula kwenu 😅😅😅
bongo
Unacho sema huenda kweli kabisa lakin hebu tuwambie mkichukua madaraka utaongozaje ikiwepo kuilinda katiba hii au mpya
GodloveHendrich
Duniani hakuna nchi yenye watu wajinga kama tanzania viongozi wenyewe mataira
MACHOYATAI-jkfu
Bado sjaona chama cha kuitoa madarakani CCM bado sana