MGONJWA WA VIDONDA VYA TUMBO APEWA DAWA ZA UKIMWI/ AKOSA USINGIZI KWA MIAKA 5.

preview_player
Показать описание

NA USHINDE ZAWADI MBALIMBALI IKIWEMO GARI AINA YA TOYOTA HARRIER NA NISSAN X-TRAIL

TAFADHALI USISAHAU KU SUBSCRIBE YOUTUBE CHANNEL YETU NA KUBONYEZA ALAMA YA KENGELE ILI UWE WAKWANZA KUPATA HABARI ZOTE AMBAZO TUTAKUWA TUKIKUSOGEZEA KARIBU
INSTAGRAM @pmtvtz
TWITTER @Pmtvtz
TIKTOK @officialpmtv
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Jamani samahanini humu ndani kaka polesana nilisha sikia kama kunamladi wawasilika wanaosambaza dawa ukiwapata watu walio asilika wanaongezewa posho huenda dadake yupo kwenye mladi huo samahani kama nitakukwazeni ila mambo yapo

OmanOman-ddqk
Автор

hmmm, huyu dada aunguzwe kwa mpira wa gari mambo kwisha 🙅...

cestlaviecestlavie
Автор

Mimi sinto shangaa huyo mzee kupewa hizo dawa hata mimi nisha pewa sikuzitumia zipo tu ndani naumwa nakitu kingine nadocta wana nipa madawa siyo ya ugonjwa huo

NeemaNada-gb
Автор

Mmmm hizo dawa basi jamani wanaomeza zinawatesa maskini poleni saana

tinnahagustinolyelu