Chukua maua yako mpoto umetisha kwa ubunifu🌺🌺🌺🌸🌼🌷🌹🌻💐
athanaskipeto
Mjomba naipenda sanaa yako napataje ujuzi huo
BrycesonMlwale
Mjomba kipindi kile anawakosoa viongoz kwa wiz ndo alikuw mjomba ila now😂😂😂 tumbo ni shida
lusajomwakajoka
Tunakupenda mnooo babaetu unaongea maneno mazito hakika tunakuombea uishi miaka yote kupitia wewe tunawakumbuka majemedali wetu walio tutoka hakika tutayaenzi na kukumbushana maneno yako kila enzi na enzi maaana sisi watanzania sio wasahaurif❤😂
matjjoseph
Mrisho mpoto hapo tayari ameshakunywa kidogo... kila apandapo jukwani lazima astue kidogo...mwangalie macho yake.... nakumbuka miaka ya nyuma nilipokuwa Udom alikuja alifanikiwa kurumbuiza...nilikaribiana naye nilisikia harufu ya mvinyo kutoka kunywani mwake
omarymnuru
Zamani ulikua unangara kweli ilikua kila mtu anakupenda kwakua ulikua unaongea ukweli kwakukosoa madhalim sikuizi umepewa kifupa unangongatu unaishu falawe
SalumJuma-izgj
Vip yupo kijeshi je viatu kavaa leo😂😂😂
shabanimara
Mpaka nimetokwa machozi. Mjomba una akili sana. Naomba uwafundishe vijana hii sana yako na waiishi kama ww. Tafuta wachache wenye moyo na uzalendo wakurithi kaka.